Tofauti ya Magufuli na Lissu kanda ya Kaskazini

Tofauti ya Magufuli na Lissu kanda ya Kaskazini

jijiletublog

Member
Joined
Jul 23, 2020
Posts
31
Reaction score
74
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mgombea urais Wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu.

Magufuli kiuhalisia ni mcha Mungu na amekuwa akionekana kanisani kila Jumapili pale Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam na wakati mwingine popote atakapokuwa ziarani iwe kikazi au mapumzikoni.

Hata ukimsikiliza Magufuli utagundua ana hofu ya Mungu na hata katika mazungumzo yake au akihutubia lazima amtangulize Mungu.

Lissu licha ya kutokuwa mcha Mungu, hana dini. Hajawahi kuonekana kanisani wala msikitini zaidi ya jijini Mbeya hivi karibuni baada ya kushawishiwa na watu wake wa karibu.

Lissu huyu huyu amewashangaa watu kuamini kuwa Mungu ameponya corona huku akiwaita wajinga. Hii inaonyesha ni jinsi gani hana hofu ya Mungu licha ya kumponya baada ya kupigwa risasi lukuki.

Kwa upande wa Magufuli ameaminiwa na chama chake na kupatiwa baraka zote ndiyo maana hata katika uchaguzi wa kumteua kugombea alipita kwa kura zote.

Si hilo tu, katika kampeni zake amekuwa akinadiwa na viongozi mbalimbali wakiwamo Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, viongozi mbalimbali wastaafu wa chama na serikali na wagombea ubunge kila anapokuwa katika majimbo yao.

Kwa upande wa Lissu hana anayemwamini hata wanachama wenzie ndani ya chama ambapo picha linaanza siku ya uchaguzi wa kuteua mgombea ndani ya Chadema wanachama walimkataa wakimtaka Lazaro Nyalandu lakini kwa mabavu ya mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu akapitishwa.

Mbowe amemnadi Lissu mara moja tu Kawe jijini Dar es Salaam. Habari za kuaminika ndani ya chama zinadai Mbowe alimuacha tu agombee kwa sababu Lissu alidai amepigwa kama Rambo hivyo aonewe huruma.

Magufuli katika kampeni zake amejitahidi sana kujiweka kariu na wananchi kwa kucheza nao, kupiga ‘push up’ jukwaani na kupiga tumba mambo ambayo wananchi licha ya hotuba zake hufurahi kuona matukio hayo.

Kwa upande wa Lissu amekuwa na kazi ya kufoka tu kwenye kampeni huku akitukana mgombea wa CCM na kukosoa mambo ya maendeleo yaliyofanywa na CCM bila soni.

Magufuli kutokana na kuwa mcha Mungu na mtu mwenye hofu ya Mungu, haamini katika mapenzi ya jinsia moja kwani ni chukizo kwa Mung una kinyume cha katiba.
 
Tundu Lissu ndiye mcha Mungu.
MAGUFULI is just a church goer, anaenda kuuza tu nyago.
MAGUFULI amekuwa akiwatolea kajli za kiudhalikishaji wanawake.
MAGUFULI hana upendo, anahubiri utengano, usipochagua CCM haleti maendeleo.
MAGUFULI amedororesha sana uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali.
MAGUFULI ni hasara kwa Taifa, rwjwa manunuzi yake ya MV. Dar es Salaam, boti ambayo kutoka Dar es Salaam hadi Bagamoyo ilitumia masaa zaidi ya nane, kuficha aibu, ikabidi hilo li mtumbwi awape JWTZ.
 
Mwanasiasa wa nchi hii na ucha Mungu wapi na wapi kiongozi.
Huwa siamini kama kuna mwanasiasa mcha Mungu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli kiuhalisia ni mcha Mungu na amekuwa akionekana kanisani kila Jumapili pale Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam na wakati mwingine popote atakapokuwa ziarani iwe kikazi au mapumzikoni.

Hata ukimsikiliza Magufuli utagundua ana hofu ya Mungu na hata katika mazungumzo yake au akihutubia lazima amtangulize Mungu.
Acha kuandika ujinga, unamjua magu wewe? Muuaji mkubwa unamwita mcha mungu? Mungu wa Ghamboshi au mungu yupi?
 
Tundu Lissu ndiye mcha Mungu.
MAGUFULI is just a church goer, anaenda kuuza tu nyago.
MAGUFULI amekuwa akiwatolea kajli za kiudhalikishaji wanawake.
MAGUFULI hana upendo, anahubiri utengano, usipochagua CCM haleti maendeleo.
MAGUFULI amedororesha sana uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali.
MAGUFULI ni hasara kwa Taifa, rwjwa manunuzi yake ya MV. Dar es Salaam, boti ambayo kutoka Dar es Salaam hadi Bagamoyo ilitumia masaa zaidi ya nane, kuficha aibu, ikabidi hilo li mtumbwi awape JWTZ.
Yani mengine uliyosema ninayaacha kwa sababu ni mavi ,uongo wako mkubwa ni Urafiki katika jumuia za kimataifa hili ndilo la uongo wa wawazi nahisi hata luninga huwa huangalii Balozi ngapi zimefunguliwa kwa awamu hii ya tano.
Yani ili tuonekana tunamahusiano mazuri Rais awe anaenda mtoni ,kha Kenge nyie na JK mlisemaje au mmesahau.
Jambo lingine la kinafiki ni pale wagombea wenu wanaposema deni la Taifa ni kubwa hivi utakopeshwa kama dunia imekutenga,ukitengwa na dunia utaona shilling itakavyoporomoka kwa maana hata Export itakuwa ndogo na wawekezaji watakimbia ila kama unafurahisha genge basi subiri majibu yenu yanakuja soon.
Nguvu ya Magufuli ilishapandwa kitambo tunaishi naye mioyoni mwetu tena kwa furaha kwa maana anaenda kushinda kwa asimilia 80% -90% alishindwa Lowassa niliyempigia kura atakuwa Lissu ?
 
Zoezi la kuomba kura likiendelea.
Ek7pzeAWkAAjQ9o.jpg
 
Lisu tangu awe anashirikiana na Amsterdam ambaye kimsingi ameolewa na mwanaume mwenzake amekua hafikrii sawasawa amepoteza mwelekeo.
 
Watanzania mnadanganyika kirahisi sana, nikila mke wako hata kama naenda kanisani we utoana poa tu kisa nina hofu na huyo mungu?
Nilisema humu ukitaka kura za watanzania nenda kanisani na video camera kusanyisha watu sadaka, umemaliza. Dini imeharibu akili za watu wamekua washenzi wa kupindukia, nchi ya ovyo sana hii
 
Heee magufuli ni mcha Mungu!? Aliwahi
Kusema wasaliti hawastahili kuishi, Mcha Mungu gani anaombea watu kifo?
 
Tundu Lissu ndiye mcha Mungu.
MAGUFULI is just a church goer, anaenda kuuza tu nyago.
MAGUFULI amekuwa akiwatolea kajli za kiudhalikishaji wanawake.
MAGUFULI hana upendo, anahubiri utengano, usipochagua CCM haleti maendeleo.
MAGUFULI amedororesha sana uhusiano kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali.
MAGUFULI ni hasara kwa Taifa, rwjwa manunuzi yake ya MV. Dar es Salaam, boti ambayo kutoka Dar es Salaam hadi Bagamoyo ilitumia masaa zaidi ya nane, kuficha aibu, ikabidi hilo li mtumbwi awape JWTZ.
Mzee umemaliza kila kitu hapo
 
Nini faida ya dini, je dini inaweza ikamuingiza mtu peponi? Je Adam, Nuhu, Ibrahim, Elijah, Elisha, Daudi, Yesu nk nk walikuwa dini gani?

Ukiwa na dini na ukawa hukosi kwenda kanisani/msikitini lakini ukitoka huko unaamuru watu wauwawe au watekwe kisa wanakukosoa sasa hapo hiyo dini yako inakusaidia nini si afadhali hata yule asiye na dini lkn hafanyi huo ujinga unaoufanya.

Hakuna popote iliposemwa kuwa dini ndio itamwingiza mtu mbinguni maanake tuliishatambua kuwa kuwa na dini hakumzuii mtu kutenda dhambi na tunaona mfano mzuri tu kwa Magufuli hapa, majuzi tu Tundu Lissu amesema yeye ndiye aliye amuru apigwe risasi na Magufuli hajakanusha na najua hatakanusha kwa sababu ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom