Siasa na vimbwanga vyake

Best Daddy

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
767
1,292
Wasalaam.

Ile kauli ya "Ukiambiwa na Mwanasiasa mvua inanyesha nje wakati uko ndani, Usiamini moja kwa moja bali toka ukathibitishe mwenyewe". Hapa naamini walitumia kauli hii kuonesha Jinsi mwanasiasa katika siasa alivyo na ulaghai wa kila aina.

Uchaguzi huu umekuja na vimbwanga vyake japo vinaenda kukoma soon 28th oct. 2020.

1. Tafsiri ya mabeberu, kuna jamii na itikadi zao za kichama kupitia uchaguzi huu wamekataa uwepo wa mabeberu kabisa katika nchi za Kiafrika. Wakiamini kuwa mabeberu wapo kuzinufaisha nchi za kiafrika na kuona mabeberu ni watu wema kabisa. Siasa buana!

2. Ushoga kupata support kama haki ya kikatiba. Katika uchaguzi huu watu na itikadi zao baada ya kutolewa tafsiri yenye upotofu ndani yake na wakili|mgombea wa chama Chao. Basi watu hao mtaani wameonekana kusupport ile kauli kama ilivyo na kusema Ushoga ni haki yao kikatiba kutokana na Mkumbo wa kisiasa. Siasa buana!

3. "The Hague". kupitia mgombea wa chama fulani kila akisamama kwenye mikutano ya kampeni amekuwa akiwahadaa vijana na watu wake kuwa baadhi ya police na Rais J.P. Magufuli basi "The Hague" itawahusu basi now jambo lolote ukifanya mataani utasikia "The hague " itakuhusu ilhali hawajambua makosa gani yanaweza mpeleka mtu "The Hague" wanatishana tu. Siasa buana.

4- Mgombea kutaka kutumia ubwabwa katika kampeni zake. Japo, ilionekana kama rushwa.Siasa buana!

5- Wakili kumtisha Rais kuwa atamuwekea vikwazo, Najiuliza vikwazo vya kuingia katika Law firm yake au kuna kikwazo kingine. Huyu kijana mmoja aliyefanya makosa ya kuingilia uchaguzi wa Tanzania kupitia his client. Robert Amsterdam Japo asilimia kubwa ya watanzania wanamuona tahira tu. Siasa buana!

6. Uzushi wa kura na vituo hewa, Lakini wanashindwa kushow evidence na siku zinaenda. Siasa buana!

7. Kuna Mzee wa "KAZI NA BATA" naona anadeal na dakika yake ya 89 tu. Siasa buana
 
Chagua Magufuli kwa Maendeleo binafsi na ya nchi yako.

#Mitano_tena!
 
Back
Top Bottom