Uchaguzi 2020 Kutoapishwa kwa mawakala wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)

CHAUMMA Tanzania

Verified Member
Oct 1, 2020
7
45
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-

1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru

Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.

Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.
 
Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
2,023
2,000
Yaani NEC wameona haitoshi kutukosesha ubwabwa wanataka na kura zenu nazo zikose usimamizi........!

Katika wagombea wasio kuwa na makuu katika uchaguzi huu ni Rungwe na Maganja.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,017
2,000
We unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za Tanzania
Siumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!
 
CHAUMMA Tanzania

Verified Member
Oct 1, 2020
7
45
Siumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!
Wewe kundi lako Itakua la kukosa ... Fuatilia Mambo Vizuri usiwe unaropoka Hovyo wewe
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,592
2,000
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-

1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru

Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.

Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.
Nyie si ndio mnaotumika kupeleka mapingamizi tume ya maadili kufungia watu kampeni
 
Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
3,034
2,000
Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-

1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru

Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.

Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.
MAPANDIKIZI katika ubora wenu, hatudanganyiki mkatafute mbinu nyingine.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom