Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona...
7 Reactions
161 Replies
11K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli amemtuma aje amuombee kura kwenye...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Magufuli amesema kitendo cha Waziri Mkuu wa awamu ya tatu, Fredrick Tluway Sumaye na Mbunge mteule wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Unapoingia kwenye UCHAGUZI hasa katika nchi zinazoendelea kama ya kwetu upo uwezekano mkubwa baada ya matokeo viongozi walioshiriki kusimamia flani ashinde wakapoteza kazi baada ya kiongozi huyo...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Hali mbaya CCM Buganguzi, Mkuu wa wilaya apambana kurudisha Kata kutoka Chadema Agomewa. Nisehemu Alikozaliwa! Wana JF, Ukisikia derby kali ni kata ya Buganguzi iliyoseheni watu wanaojielewa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wa mwisho ndo mshindi. Wanchi waambiwe tuu na kuelimishwa tuu, ya kwamba ukombozi upo mwisho na akatiki ndani ya kisanduku tuu. Tiki yake isije tokea nje, ukitoka kura itakua imeharibika...
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu! I am a realist and I wish to remain so! Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia! Our house isn't in orderWe can't...
7 Reactions
322 Replies
38K Views
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, amesitisha minada na magulio yote mkoani humo siku ya uchaguzi mkuu ya Oktoba 28, 2020, ili kutoa nafasi kwa wananchi kwenda kupiga kura kumchagua Rais...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hiyo kupitia kutambua madhila ya CCM miaka 59 baada ya Uhuru maendeleo ya kujikongoja na propaganda za miaka mitano ya JPM. NDANI YA MIAKA 5 1. Kuua soko la mazao ya biashara kama vile korosho...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Wiki hii ni muhimu sana kwako. Ni wiki ya wananchi kuamua kuendelea kuhangaika na matibabu kwa kukosa pesa au kupata bima ya afya kwa wote. Ni wiki ya Mwanafunzi kuamua kuendelea kulipa riba ya...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi wadau! Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu...
98 Reactions
257 Replies
16K Views
Lengo kuu la jambo hili ni kumshukuru Mungu kwa wema na ulinzi wake mkubwa sana alioutenda katika kipindi chote cha kampeni.
25 Reactions
56 Replies
5K Views
Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Tanzania, atabadili mfumo wa elimu kwa kuhakikisha zinajengwa shule mpya, vyoo pamoja na nyumba za walimu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Edward Lowassa - alikuwa na nguvu CCM , akawa na nguvu upinzani huku akihesabika Kama shujaa wa mabadiliko. Hakudumu kwenye huo ushujaa akakubali kurudi CCM hadhi yake ikaporomoka na sasa...
38 Reactions
38 Replies
4K Views
Cheki hii habari ya huko Dodoma. Shule ya msingi Mbalawala iliyopo manispaa ya Dodoma imefungwa kwamuda usiojulikana na wazazi kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa walimu na wanafunzi kuwa...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Mwaka 2020, umekua waina yake. Ni mwaka huu tu ambapo tumeona vya vya upinzani vikinyimwa fursa kwenye runinga na chama kimoja kiki hodhi sana runinga zote nchini. Ukifungulia chaneli za hapa...
0 Reactions
7 Replies
838 Views
Nichukie fursa hii kulipongeza Kanisa moja takatifu Catholico na Apostoliko kwa kutojihusisha na siasa za uchaguzi na badala yake limekuwa likiwaombea viongozi wetu na taifa kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Pamoja na ukweli kuwa uchaguzi huu ni wa Rais, Wabunge na Madiwani ila ni ukweli usiokificho uchaguzi huu umehamia kwa Dr Magufuli Vs T. Lissu, umerudi kwa Maalim Sief VS Dr Mwinyi. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu watano wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kufanya fujo, kujeruhi na kusabababisha uharibifu wa mali,wakati msafara wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom