Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia...
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa...
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.
Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha...
Vuguvugu la uchaguzi limeleta mambo mengi sana mwaka huu. Kati ya hayo mojawapo ikiwa ni viongozi wa dini kutupiana maneno hadharani. Uhasama kati ya viongozi hawa wawili ulianza pale sheikh Alhad...
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama...
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake...
Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu.
Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa.
"Tundu Lisu the rescuer...
A day before casting their votes to decide who is their president, members of parliament and other lower representatives in Zanzibar, people were today rushing for shopping in the city.
A day...
Leo Baba askofu Ruwa'nchi amenena na kutoa wito kwa watanzania kuelekea kwenye Uchaguzi kufanya uchaguzi wa Haki Amani na utulivu ili kuijengea heshima nchi yetu. Ametoa wito kwa raia kuwa...
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi.
Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio...
Tangu asubuhi jimbo la Musoma Mjini limetaliwa na kelele za Mabomu ya shabaha yanayofanywa na FFU mkoa wa Mara maeneo ya Kamnyonge/ Nyamatare.
Mida ya jioni nimeshuhudia askari wengi wa FFU...
Na Thadei Ole Mushi.
Kipindi hiki Cha uchaguzi mkuu niuhimu kuwakumbusha watu Mambo muhimu ambayo yanaweza kuwaletea shida wasipoyajua. Kuna baadhi ya wanasiasa wameaacha kunadi sera wao wanasema...
Kesho ni siku muhimu sana kwa vyama miamba wa nchi hii. Ni siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020.
Mpaka leo hatuwezi kusema nani atashinda au nani atashindwa. Hali hiyo inathibitisha...
Ndugu yangu mwanaJamiiForums tuwe na kumbu kumbu kua 2015 wakati Rais Magufuli anaomba kura aliahidi mambo mazuri na makubwa sana lakini mpaka sasa anatimiza ungwe ya miaka mitano hajatumia yote...
Hatimaye siku ya kupiga kura imewadia. Taifa linaenda kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais siku ya jumatano tarehe 28 Oktoba.
“Siku ya uchaguzi inavyozidi kukaribia ndio matumaini ya kuwa huru...
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga...
Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli?
Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais...
Habari wakuu,
Nakumbuka niliwahi kutoa UZI mwezi Mei kuhusu kuonya wanachama wa ACT Wazalendo kuwa wasifanye makosa kama walivyofanya CHADEMA mwaka 2015 kwa Lowassa. Leo si mbaya kuwakumbusha...
Wasalaam wanabodi,
Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti...
MAMBO 20 MUHIMU WAKATI WA KUPIGA KURA, KUHESABU, NA KUTANGAZA MATOKEO.
Na Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.
1. Sifa za mpiga kura ni mbili, moja hakikisha umo kwenye daftari la kudumu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.