Uchaguzi 2020 Nadhani Afrika Kusini inawajibika kututhibitishia kwamba karatasi na vifaa vya kura vimezalishwa na kampuni ya nchi hiyo! Wasije kuonekana wanashiriki

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa kuona mapokez kama tunavyopokea watalii au ndege zinaponunuliwa.

Pili mkataba wa tenda hiyo uwekwa wazi na makampuni mengi yanaposhinda tenda hizo upenda kufahamika kwa lengo lakuvutia biashara.

Kwa Tanzania huko naona Kama hakuna taarifa zakutosha na watu wanahoji Kama kweli kampuni ya afrika kusini inayotajwa ndiyo ilipewa tenda au Kuna udanganyifu?

Hatuoni kwamba serikali ya Afrika kusini imbayo ipo uchumi wa kati inawajibika kutoa ufafanuzi kuhusu ukweli wa sakata ili kuepusha nchi hiyo kuonekana Kama makampuni ya nchi hiyo yanatumika kuchota fedha za nchi maskini?

Afrika Kusini hawaoni umuhimu wakuieleza Dunia ukweli kuhusu mchakato uliotumika kuipata kampuni hiyo? Je ni kweli kwamba kampuni hiyo ilivunja makubaliano na serikali na awakuzalisha karatasi zilizotajwa?
 
Huo ni uoga wa Chadema

Chadema tulieni dawa iwaingie, kesho tunaenda kumfundisha adabu msaliti wa Nchi
Duh hivi huwa mnapeana zamu kwa kutumia hizi ID kulingana na shift yako au unakomaa mwenyewe huku mkilipwa per comment? Pole pole ana dhambi sana!!
 
Wameprint JAMANA Printers chini ya uratibu wa wasiojulikana (TIS....) badala ya kampuni iliyoshinda kandarasi ya Afrika Kusini inaitwa REN FORM CC.
 
Back
Top Bottom