Uchaguzi 2020 Mawakala wa CHAUMMA wanahujumiwa. Tukisema uchaguzi unavurugwa na Tume yenyewe, hii ndio maana yake

Oct 1, 2020
7
22
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi.

Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio karatibu kutoa maelekezo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Ngazi ya Majimbo kutokuapisha Mawakala wa CHAUMMA na hata kuondolewa wale waliokwisha kuapishwa. Huu ni Ushahidi mwingine.

HATUNA IMANI TENA na Ndugu Mahera kwa haya yanayoendelea.

2602244_IMG-20201026-WA0099.jpg
2602245_IMG-20201026-WA0100.jpg
 
Waandae huo ushahidi Kama Sheria inasema kila chama kiwe na wakala kwanini wanyimwe hiyo nafasi? Tunataka ubwabwa wasituletee utani, kuanzia Sasa Kama waziri, mkuu wa mkoa, wilaya anaingilia uchaguzi wakati hausiki siyo muda wa kumukemea tuu nikuchukua ushahidi kwamba wanaharibu uchaguzi sasa hivi tubaki na tume ya uchaguzi na wapiga kura tu.

Wengine wote wakae pembeni ili atakaye acha kusimamia uchaguzi inavyotakiwa sheria ichukue mkondo wake. Chaguzi zilizopita watu wamefanya kwa amani pamoja na makandokando lakini wakala na fomu walipewa ili kuepusha kesi ya wizi wa kura kwa kukusudia ili kuvunja amani na kuleta ghasia.
 
Back
Top Bottom