Uchaguzi 2020 Dkt. Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wanaomuuliza maswali

Jun 30, 2020
88
400
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake.

Hapa ni video ya mwananchi aliyepigwa na watu anaosema kwamba walikua na Mwigulu kwenye gari alipoingizwa ndani akatoa maagizo apigwe.

Tabia ya kutumia ubabe ya Dr Mwigulu Nchemba imekua ikilalamikiwa sana na mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia CHADEMA ndugu Jesca Kishoa. Inadaiwa kua Mwigulu amekua aliwatishia wanachama wa upinzani pamoja na wananchi wengine akidai kwamba anawasamehe kwakua kuna msongamano wa mahabusu magerezani kua yeye anatembea na mafaili yao.

Ni wajibu wa NEC kukemea vitendo hivi vya kikatili ikiwa ni pamoja na RPC mkoa wa Singida kufuatilia hii hali.

IMG-20201026-WA0101.jpg
 

Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,069
2,000
Savimbi masikini! Amelegea mpk anataka kuuwa mpiga kura wake. Hivi Savimbi huwezi kujiajiri? Si ushazichota sana hela za serikali??
Hayo tutayajafili baada ya Uchaguzi kuisha ila Mwigulu ndo Mbunge pale
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom