Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashangaa sana nguvu ya kijeshi ambayo Tanzania inataka kutumia dhidi ya wananchi wasio na silaha katika kuzima kile ambacho ukitafakari sana, ni suala dogo tu la watu kueleza hisia zao juu ya...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Salama wana JF? Awali ya yote tujipe pole na pongezi ya kuyashugulikia maisha kwasababu bila ya hivyo basi tambua mkono hauta enda kinywani. maada kuu pasipo ya kupoteza mda nadhani wote...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Nadhani walibanwa mno, na ukiangalia uongozi wao utajua kwanini? Hata nyuso za watangazaji, ilikua unaona kabisa hawana raha kushindwa kutangaza taarifa za upinzani. Ilikua unaona kabisa nini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono...
14 Reactions
94 Replies
7K Views
Tangu chihuku ozdgzfdxfrgfgxtgd exgfff duprree
0 Reactions
3 Replies
2K Views
October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana...
2 Reactions
11 Replies
898 Views
Ilikuwa hivyo tokea mwaka 2010. Kata haiunganishi matokeo ya Raisi Wala ubunge.
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli imekuwa ya machungu na kilio kwa Watanzania wengi. Maisha ya mwananchi wa nchi iliyowekwa kwenye kundi la uchumi wa kati yamezidi kuwa ya...
18 Reactions
71 Replies
5K Views
LIVE: PROF.KITILA MKUMBO ANAHITIMISHA KAMPENI JIMBO LA UBUNGO
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbeya Majimbo ya mbarali, Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela Kigoma Majimbo karibia yote ni ACT Wazalendo na CHADEMA Dar es Salaam Majimbo yote kuna upinzani Zanzibar Mikoa yote ni...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Nafuatilia kauli ya Mufti Mkuu wa BAKWATA Tamzania Sheikh Abubakari Zuberi akimshukuru Rais kwenye ufunguzi wa Msikiti Dodoma kuwa Rais amejenga Msikiti katika maeneo mbalimbali Chato, Kinondoni...
2 Reactions
2 Replies
979 Views
https://imevuja.xyz/just-in-upigaji-kura-waanza-usiku-huu-zanzibar/ Na pia https://imevuja.xyz/maalim-seif-kuwekwa-chini-ya-uangalizi-maalum/ Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu...
15 Reactions
157 Replies
19K Views
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, atapiga kura siku ya kwanza Jumanne tarehe 27 Oktoba badala ya siku ya uchaguzi Oktoba 2020. Maalim Seif amesema...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wewe unaye shinda humu, unashinda Facebook, Twitter na Instagram kushabikia CCM ilihali Ndugu zako hasa wazazi wako kule kijijini wanateseka kwa umasikini unao sababishwa na CCM. Mfumo wa Elimu...
0 Reactions
5 Replies
795 Views
"Sisi tumekuwa wakali kutokana na aina ya wagombea tulionao kwa sasa, ndiyo wamesababisha watu waone mbona adhabu zimekuwa nyingi na kamati imekuwa kali hivi" - Katibu wa Kamati ya Maadili ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Watanzania wote waliotimiza vigezo kwa mujibu wa sheria, wanatarajia kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuwachagua Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Hatua hii muhimu imefikiwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
40 Reactions
289 Replies
27K Views
Amani iwe ndugu zangu wa Jamii Forum. Nimeisikiliza kwa Makini taarifa ya RPC wa Dodoma Ndugu Muroto juu ya Kifo cha Ndugu yetu Mpendwa Marehemu Sheikh Rashid Bura ambaye pia alikuwa Mkurugenzi...
19 Reactions
127 Replies
20K Views
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Sina hakika kama ni maombi ya Watanzania au ni mapenzi ya Mungu tu, bali kikubwa kuliko yote ni kwamba mwisho wa CCM umefika rasmi baada ya wananchi kuikataa...
70 Reactions
143 Replies
12K Views
Back
Top Bottom