Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Sina hakika kama ni maombi ya Watanzania au ni mapenzi ya Mungu tu, bali kikubwa kuliko yote ni kwamba mwisho wa CCM umefika rasmi baada ya wananchi kuikataa...
70 Reactions
143 Replies
12K Views
Jumatano ya tarehe 28 Oktoba Watanzania tuna nafasi ambayo binafsi naamini kwa wengi wetu wa kizazi hiku hatutapata tena. Ni nafasi ya mara moja katika maisha ya wengi wetu ya kufanya maamuzi sio...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi ya utekaji, uonevu, kupotezwa na kufilisiwa mali au kubomolewa nyumba zako kinyume na sheria ya nchi au uishi katika Tanzania ya furaha chini...
3 Reactions
3 Replies
782 Views
Wakati Watanzania wakijiandaa kushiriki Uchaguzi Mkuu kesho Oktoba 28, 2020, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres ametoa wito mchakato huo ufanyike kwa amani Guterres amehimiza Viongozi wa Vyama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wiki ijayo tarehe 28/10 watanzania wote tunaenda kupiga kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani Jambo moja ambalo kila mmoja anapaswa alitambue ni kwamba kura yako ni siri yako. Maana yake ni...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Timu ya watazamaji kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yenye waangalizi 59 imewasili nchini kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika kesho. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nini hatima ya uchaguzi wa mwaka huu? Mwaka 2015 CHADEMA walikuwa wakisema wakiingia madarakani, watafufua Shirika la ATC, watafanya shule bure, n.k. Magufuli ameyafanya hayo, na zaidi. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
Pamekuwa na kauli tata za kutuaminisha watanzania kwamba Serikali ina hela sana, na kwamba miradi yote nchini inajengwa kwa pesa za ndani. Sasa Rais anapotwambia hivi na kudanganya watanzania wa...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Magufuli amefungua msikiti wa kisasa unaoitwa Abubakar Bin Zuber Chamwino Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Dola akiwemo CDF Mabeyo, IGP Sirro...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano. Mtakubaliana na mimi ya kwamba CCM wameshindwa kwenye hoja za kampeni, CCM wameshindwa...
70 Reactions
200 Replies
15K Views
Zanzibar Wanapiga kura ya mapema kwa watu maalumu na kura ya watu wote siku ya pili. Maswali kwa ZEC 1. Tume itabandika majina ya watu hao maalumu wanaotakiwa kupiga kura ya mapema kwenye vituo...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanawake wa Kawe wameapa kulinda heshima ya Kawe kwa kutoruhusu hilo jimbo kuangukia mikononi mwa tapeli wa kimataifa aliyejivika ngozi ya udini. Wamemhakikishia Mwenyekiti wao wa Taifa, Mhe...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako...
31 Reactions
70 Replies
9K Views
Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza. Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Hakuna sababu ya kuendelea kulia lia na ugumu wa maisha. Tuchague Tundu Lissu kwa kishindo upande wa Bara na Maalim Seif upande wa Visiwani. Tunayo hatima ya Tanzania mpya inayojali haki, uhuru na...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
ALAMA INAYOKUBALIKA WAKATI WA KUPIGA KURA NA KUHESABU KURA. Kwa mujibu wa Aya ya 3.4 ya Maelekezo kwa Wasimamizi wa Vituo vya Kupiga Kura, 2020, alama zinazokubalika katika kupiga kura ni hizi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo...
19 Reactions
93 Replies
11K Views
Viongozi wa dini mnayo nafasi yakukemea leo kwa sababu msipowakemea waumini wenu leo mkakaa kimya kesho watachafuka awataweza kuwafuata kutubu na awatataka kukutanisha uso wao na wenu kwa ajili ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au...
55 Reactions
87 Replies
6K Views
Back
Top Bottom