Uchaguzi 2020 Kufanya kazi ya kuwakusanya wapiga kura, kuwapeleka vituo vya kupigia kura na kuwarudisha majumbani mwao bure. Inaruhusiwa?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu.

Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa.
"Tundu Lisu the rescuer. From the edge of the grave to the state house"

Nimeamua toka moyoni kujitolea kuwakusanya wapiga kura bure, kuwapeleka vituo vya kupigia kura bure na kuwarudisha majumbani mwao bure.

Niko tayari kulifanya kazi hii tangu asubuhi mpaka mwisho wa zoezi la upigaji kura.

Naombeni kujua kama taratibu na sheria zinaruhusu.

N.B: Mimi siyo mgombea wala Mwanachama. Bali ni mfurukutwa wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Tundu Antipas Mughwai Lissu.

Lakini siipendi CCM kwa tambo zake za kujifanya wana hatimiliki ya nchi hii.
 
Kwa faida ya wengi tunaomba utujulishe,sheria inasemaje katika hilo,he inawahusu hata wasiokuwa wagombea na he mamlaka husika zinautaratibu gani wa kufuatilia sheria husika kama taratibu haziruhusu .
Mimi nimechokoza tu hii kitu. Lkn 2015 Kuna mtu aliifanya Sana hii. Sikuona Cha mamlaka Wala nani kumuuliza.
 
Mm nimechokoza tu hii kitu. Lkn 2015 Kuna mtu aliifanya Sana hii. Sikuona Cha mamlaka Wala nani kumuuliza.
Kwa wajuzi msaada kwenye tuta.kwani hii yaweza kutumika kuwabeba wanaotumia fedha kuyapata maslahi yao.
 
Sexless a gay who dreams the illusion that Lissu will take the state house to give an open chance for homosexuality!

Never! Never! Never!
In Trump's voice!
 
Mkuu mie niko chatto ila nilinia dikisha katoro. Jee huduma hiyo huku ipo. Kula fisiem kura kwa Lissu chuma cha reli
 
Hairuhusiwi, Pia Usijaribu Utaharibu Mambo
Acha Waende Wenyewe Wakaamue
Muda Wa Ushawishi Ni Kipindi Cha Campaign
Baada Ya Hapo Utatafuta Shida!!🤨😶🤨😏😏😏
 
Sexless a gay who dreams the illusion that Lissu will take the state house to give an open chance for homosexuality!

Never! Never! Never!
In Trump's voice!
Hizo yaweza kuwa ni baadhi ya mbinu chafu mzitumiazo baada ya mbinu nyingine nyingi kushindwa na maji kufikia shingoni,na bila aibu mnajaribu kutumia manneno machafu kwa kufikiri inaweza kuwa silaha.
 
Hizo yaweza kuwa ni baadhi ya mbinu chafu mzitumiazo baada ya mbinu nyingine nyingi kushindwa na maji kufikia shingoni,na bila aibu mnajaribu kutumia manneno machafu kwa kufikiri inaweza kuwa silaha.
Mbinu za kwenye sanduku la kura Ni chafu?

Lissu hafikii hata kwa Lowassa! He's an easy breakfast to sip, perhaps a cup of coffee!

surveys show the reality basing on geographical units that JPM is above the so called "Ni YEYE"
 
Sexless a gay who dreams the illusion that Lissu will take the state house to give an open chance for homosexuality!

Never! Never! Never!
In Trump's voice!
Mkuu acha upotoshaji ambao hata wewe inakusuta moyoni mwako. Usijifiche kwenye blanket la kiingereza kusema yasiyo ya kweli
 
Kwa faida ya wengi tunaomba utujulishe,sheria inasemaje katika hilo,he inawahusu hata wasiokuwa wagombea na he mamlaka husika zinautaratibu gani wa kufuatilia sheria husika kama taratibu haziruhusu .
Sijui vifungu vya sheria ila kwa hisia na uelewa wangu ndio nahisi hivyo
 
Unawapeleka tu kikubwa uwe umeshawaanda kabisa kabla ya siku ya uchaguzi hata sisi mtaani kwetu wakati tunaenda kupiga kura kuna watu tunawapa usafiri mkifika mnashuka wote mnakwenda kupanga foleni mnapiga kura zenu itahusu zaidi kwa watu mliokaribu na kufahamiana maana hakuna mtu anazuia watu wasiende kupiga kura wakiwa wameongozana na Kuna wengine Kama unawajua hawana usafiri unaweza pia kuwapeleka hata 2015 tulifanya hivyo kikubwa msivae nguo za chama na kuhamasishana Nani mumupigie kwenye kituo Cha kura.
 
Back
Top Bottom