BBC Swahili ndio tuseme mmekosea au makusudi?

ForeverMore

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
812
Reaction score
1,942
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.

Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha?

20201026_225036.jpg
 
BBC Swahili wanaumia hawajapata night za kuja kuripot Uchaguzi bongo
 
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.

Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha?

View attachment 1613067
BBC na DW ni media zinazokampeni CCM ianguke.

Biased
 
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.

Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha?

View attachment 1613067
Kuna Kura zinaendela mtanadoni huko Magufuli anamagalagaza Tundu Lissu mpaka Sasa Magufuli ana 23,000 na Lissu 5,000 hahahhaa dah kumbe hata mtandaoni Lissu chali.
 
Luna Kura zinaendela mtanadoni huko Magufuli anamagalagaza Tundu lissu mpka Sasa Magu Na 23,000 na Lissu 5,000 hahahhaa dah kumbe hata mtandaoni Lissu chali
Kakojoe ukalale ,umeshakunywa gongo hapo Lumumba? Hata unachokiandika hukijui
 
Lissu ni mwepesi, matusi ndio yalimpaisha hakujua madhara ya matusi
Luna Kura zinaendela mtanadoni huko Magufuli anamagalagaza Tundu lissu mpka Sasa Magu Na 23,000 na Lissu 5,000 hahahhaa dah kumbe hata mtandaoni Lissu chali
 
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.

Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha?

View attachment 1613067

Kwani anampango wa kuondoka? Hukuwasikia kina Juma Nkamia?

Ile 2/3 ya wabunge nayo je?

Dalili za mvua ni Chagu wa Malunde.
 
Ripoti kwenye mtandao wa BBC Swahili unasema Magufuli mwaka huu 2020 anawania muhula wa 3 na siyo wa pili.

Hii ni makusudi au ndio tuseme wamekosea au wame jikosesha?

View attachment 1613067
Achana nao, BBC wamekosa uweledi siku hizi. Lissu amewaingiza topeni. Taswira yao imeaharibika sana.
 
Back
Top Bottom