Ahadi za wabunge: Wana Kawe tunao elekea Birmigham Marekani tujuane hapa

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,304
12,965
"Uchaguzi" umekwisha. Ahadi ni deni. Watu tumesha uza nyumba na kakata passport tayari kwa safari ya Marekani tuwahi sherehe ya kuapishwa rais mpya wa nchi hiyo. Mshindi wa ubunge jimboni kwetu atupe utaratibu wa safari tupo tayari kwa safari sasa. Wana Kawe tunao kwenda zetu Marekani tujuane hapa!

Je wewe jimboni kwako uliahidiwa nini umkumbushe mbunge wako aanze utekelezaji?
 
Kwani wakati wa zuio hukwenda? Basi mgombea alimaanisha tutaenda na hata Mimi si mwanakawe lakini nilienda U.S.A, Japan, Canada, Netherlands n.k.
 
Gwajima mpenda masifa...nabii wa uzinzi....askofu mzinifu....huyo atawasalisha wajinga wenzie
 
Mliambiwa mnaenda kufanya Nini? Sasa aliyeahidi we chadema ni halima na kapigwa chini, Sasa unajitoa ufahamu kujifanya mfuasi wa Rashid gwajima?
 
Alisema wana kawe wote tunaenda huko halafu wao wana kuja huku!
Mliambiwa mnaenda kufanya Nini? Sasa aliyeahidi we chadema ni halima na kapigwa chini, Sasa unajitoa ufahamu kujifanya mfuasi wa Rashid gwajima?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom