Tanzania ni nchi yetu sote

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,642
Hakuna mapigano, hakuna mfalme sote tunaishi vizuri na hili lote lina julikana sote ni ndugu tunahitaji zaidi amani kuliko vita au uadui.

Lakini serikali tunaiomba iwe makini Zaidi na suala la utandawazi na mporomoko wa maadili hasa kwa vijana. Katika kosa ambalo serikali itaifanya, basi ni kuruhusu biashara za unyonyaji kuanzia magendo, utapeli, rushwa, 10 percent, uhalifu na uvunjaji wa sheria.

Serikali dhibitini mifumo yote kwa kuunganisha maadili tamaduni uasili wetu na rasilimali zetu. Tuleteeni maendeleo haraka tusaidieni tujenge Maisha.
 
Al shabab hilo hawalijui alarm ya htr imeshagonga tyr bado matokeo tu safari hii hakuna cha ccm wala chadema, msemaji wao amesema nanukuu"kama mbwaimbwai tu anatoboa jahazi atakyeweza kuogelea asiyeweza basi atakufa maji "mwisho wa nukuu yajayo yanafurahisha
 
Hakuna mapigano, hakuna mfalme sote tunaishi vizuri na hili lote lina julikana sote ni ndugu tunahitaji zaidi amani kuliko vita au uadui.

Lakini serikali tunaiomba iwe makini Zaidi na suala la utandawazi na mporomoko wa maadili hasa kwa vijana. Katika kosa ambalo serikali itaifanya, basi ni kuruhusu biashara za unyonyaji kuanzia magendo, utapeli, rushwa, 10 percent, uhalifu na uvunjaji wa sheria.

Serikali dhibitini mifumo yote kwa kuunganisha maadili tamaduni uasili wetu na rasilimali zetu. Tuleteeni maendeleo haraka tusaidieni tujenge Maisha.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sisi wananchi wa Tz rafiki zetu wakubwa ni wazungu tu. Hatutaki undugu wowote na hawa chinjachinja wakoloni weusi!!
 
Back
Top Bottom