Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

Zitto Kabwe amwandikia barua IGP Sirro

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
643
Reaction score
1,603
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwa
IMG_20201121_123348.jpg
 
Safi sana
Hakuna excuse hapo
Lengo la Press conference ya Sirro pamoja na kujaribu kuwater down tuhuma za mauaji na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ilikuwa pia na lengo la kuwapa mabalozi wetu nje ya nchi takwimu feki zenye backup ya kitaasisi ili wakibanwa sana watoe taarifa feki kutoka kwenye mamlaka ili kupunguza munkari!

Zitto hapa kawaondolea karata muhimu ya kujitetea kuwa hawana taarifa!
 
Acheni kuwadanganya vijana kuwa capo Delgado kuna madolari ya kufa mtu,wakafunzwe vita. Mnawawezesha kwenda huko,utashangaa kitakachofumuliwa huko.
 
Hongera ACT,.

Huyo kamanda Ziro ni kumkaba koo mpaka aombe poh.!

Dunia ya sasa technology kubwa kiasi hiki halafu anafichaficha mambo mazito na kutoa takwimu feki akiwa katumbua macho kwenye camera bila 'soni' Taifa likimtazama. ..
Mwendo huo huo ZZK.!
 
Kwa kauli hizi ndo kuwe na SUK Zanzibar kweli...??

Hawa wanaowaomba wenzao wakae mezani kupatana, wanajitetea kwa kupalilia uongo na unafiki...

Wanakana kuwa hawakuua watu huku ukweli ukiwa tofauti...

Hawa polisi sijui wakoje tu?

Hivi kama waliweza kuwapiga, kuwatesa na kukaribia kuwaua viongozi waandamizi wawili wa ACT WAZALENDO Jussa Ismail Jussa na Mazrui, hao wananchi wa kawaida si watakuwa wamewatesa na kuwaua wengi tu kama panzi vile..??

Katika hali hii ya watu kuwa wanafiki na waongo, ni ngumu sana hawa watu (ACT WAZALENDO & CCM) kupatana na kufanya kazi pamoja unless UKWELI na UWAZI na kukiri makosa kutangulie mbele...!!
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Sawa kabisa huu ukweli uwekwe kwenye tovuti ya chama kuondoa kabisa propaganda za IGP dhidi ya uhai wa nafsi za watu wasio hatia.
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Na ndiyo iliyobakia kwako Zitto utoe ushirikiano kwa polisi maana sasa huna platform nyingine.
 
Zito ambatanisha na yule askari aliyefariki msione ni nyie tu ndio mnaonewa acheni hizo Zito
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Uvunjifu wa amani, sheria na taratibu mfanye wenyewe then yakiwakuta lawama kwa vyombo vya dola

Mngelitii sheria, taratibu na mamlaka husika wala yasingewakuta

Ila mkiendelea na ubishi wenu, kiburi, makusudi, kuijaribu mamlaka yataendelea kuwakumba tuu
 
Zitto usisahau pia kuweka video na picha za vijana wakiwarushia mawe na kuwakata vichwa askari wetu wakiwa kwenye kutekeleza majukumu yao ya kazi za kulinda usalama wa raia na mali zao

hawezi kufanya hivyo maana ni kwenda kinyume na mipango yake ya kisiasa.
 
Kufuatia kauli ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamanda Sirro kuhusu vifo na kuvunjwa kwa Haki za binaadam nimemuandikia Barua na kumkabidhi Taarifa yetu yenye idadi ya Watu waliokufa kwa majina yao na Picha, Watu walioteswa vituo vya Polisi, kutekwa na kushikiliwa kinyume cha Sheria.

Vile vile Taarifa yetu yote kwa Kiswahili na kwa Kiingereza tunaiweka kwenye tovuti ya Chama ili Kila mtu aweze kuisoma na kujionea ukatili mkubwa uliofanywa kwa Wananchi. Chama kitafanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Uchunguzi unafanyika na hatua za kisheria kuchukuliwaView attachment 1631348
Ahsante Sana , Sana Mheshimiwa ZITTO KABWE ! Hakika , Wewe ni Kiongozi wa Watanzania . Na ndiye Kiongozi pekee uliyebaki hapa Nchini wa kutufariji Watanzania katika kipindi hiki kigumu Sana tunachopitia !!!
 
Samahani kwa kuchomekea swali kwenye hii mada..hivi Mh. Membe yu wapi?
 
Safi sana
Hakuna excuse hapo
Lengo la Press conference ya Sirro pamoja na kujaribu kuwater down tuhuma za mauaji na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu ilikuwa pia na lengo la kuwapa mabalozi wetu nje ya nchi takwimu feki zenye backup ya kitaasisi ili wakibanwa sana watoe taarifa feki kutoka kwenye mamlaka ili kupunguza munkari!

Zitto hapa kawaondolea karata muhimu ya kujitetea kuwa hawana taarifa!
Ahsante Sana Kamanda ! Hapo Sirro hachomoki !!!! Zitto Kabwe hoyeeee !!!!!!
 
Back
Top Bottom