Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,089
- 2,232
Hivi ni kweli watani zetu wa jadi mmeshindwa kuwa na vipaumbele,vipaumbele vimebaki vile wanavotamka kila robert na lissu!
Kwanini mnapenda kuongozwa na mihemko hivi ni kweli kama wanavyowaita NYUMBU mnataka watani zenu tuamini mnapelekwa bila kona?
Hamna hoja mnazojenga sasa lissu akisema wamenitishia kuniua inakuwa hoja,robert akisema nishapeleka barua ICC nayo ni hoja mnashindwa hata kuwatoa relini kuwambia sisi tunataka hiki
Watani zetu tuwambie tu kwamba tunapenda mtuongelee kuhusu katiba mpya hebu simameni mkilala,mkiamka nyinyi na katiba mpya hakuna ccm mwenye akili timamu atashindwa kuwasapoti kwa hili
Mtapiga kelele sana bila kulia na katiba uchaguzi huru na haki mtausikia na watani zenu tutawasomesha namba kwelikweli
Niwaombe tu wote tunisoma namba ila mabadiliko yanaanza na nyinyi pigeni kelele ya kudai mwendelezo wa katiba mpya kila mtandao wa kijamii nasi tutawasaidia