Jinsi Serikali/Dola zinavyo anguka

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,571
2,000
Hakuna MTU awaye yeyote alidhania au aliwahi hisi Eti Hitler siku moja angekimbia kiti nakujificha na mwisho kupotezwa kama alivyo poteza wenzake. Vitabu vinasema Hitler alitafutwa mithili ya panya popote alipo auwawe nakupotezwa. Dola ya Manazi ilikuwa ni Dola yenye nguvu kiasi ilipanga mistari wayahudi nakuwatia Moto kama kuni ama Kwa hakika alikuwa katili Sana.

Dola ya Mzee Mobutu MTU alie simamia mauwaji ya Patrick Lumumba na Mwisho akajifanya anamuenzi ili kuzima uasi ulio Anza kuenea kwamba ndie alie husika na mauwaji Yale. Hata hivyo mwisho alianguka na leo kijiji chake ni magofu.

Kitakuwa stendi haki kutoelezea utawala wa Ghadafi mwamba wa Africa alieuwawa kikatili nakuburuzwa kama mbwa na wananchi wake. MTU alie wekeza ktk usalama na kupoteza mamia ya wapinzani wake mpaka wakashituka na kugunduwa Nani anawatafuna na mwisho wakamtafuna na yeye. Alikuwa kiongozi katili alie wapa Watu wake chakula Ila nyuma akiwachinja kama kuku ktk Banda.

Serikali zinaangukaje?
Serikali yeyote duniani inamifumo ya kitaasisi inayo Linda masilahi mapana ya serikali. Jambo ambalo viongozi wengi husahau nakuingia ktk mashaka nipale wanapo itumia serikali kuwa kama mali yao binafsi wakisahau wao ni taasisi ndani ya serikali na sio vingine inapo sema serikali na miundo wake kuna Taasisi nyingi zimo ndani yake na Ile ya Rais ni kipande Tu japo Kwa muonekano wa nje wengi tunadhani Rais aweza Kuwa ndio taasisi kubwa kuliko zote na anaweza Fanya lolote atakalo pasipo guswa na taasisi nyingine.

Jambo hili sii kweli Kwa Kuwa taasisi ya Rais ina vi sub coordination na main taasisi mfano Sheria unakuta kuna mahakama ila kuna ofisi ya mwendesha mashitaka na Judiciary system. Ndio maana jaji mkuu anateuliwa Ila huwezi muondoa why?
Ndio maana serikali kamili ina Judiciary system, Executives and Parliament.

Nini hasa kina angusha serikali?
Serikali nyingi huwanguka baada ya hii miili mitatu kusuguwana why? Hawa wote watatu KAZI zao huchakatwa ktk idara nyeti za Usalama na mule ndipo mtiti huwanza Jambo Baya kabisa linalotokea ni pale kiongozi mkuu anapo Anza pata wrong information zinazosababisha kufanya bad decisions zinachochea kuanguka kwake.

Ndio maana idara za usalama wa Taifa ni idara zenye nguvu Sana Kwa sababu ndio ubongo wa serikali. Ukitomasa tomasa hii idara nyeti basi jiandae kisaikolojia.
 
Nyabutoro

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
986
1,000
Unalosema ni ukweli, nafikiri kuna udhaifu wa kisheria ulifanywa makusudi wakati tunatoka Special Branch kuna TISS.

Hii taasisi ilinyanganywa mamlaka na kubaki kushauri tu, tukiipa meno inaweza kutusaidia lakini pia tukiweza kuajiri kama tulivyokuwa tunaajili kipindi cha special branch tutatoka katika mkwamo wa sasa.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,575
2,000
Kiongozi anapopewa wrong information halafu anakuwa mgumu kubadili uamuzi wake hasa anapojua alikosea, huo ndio mwanzo wa kuchukiwa na anaowaongoza matokeo yake lolote atakalotenda hata kama likiwa jema, raia hawatakuwa na upendo nae tena.

Matokeo yake ataanza kuongoza kwa hasira na jazba, kuwagombeza wasaidizi wake nao wataanza kumuogopa kwa ukali wake, hawatampa tena ushauri, na mwisho wake atakuwa anajiamulia mambo mwenyewe na kwa kufanya hivyo ndio atakuwa anazidi kukosea na kuzidi kupoteza imani kwa wale anaowaongoza.

Finally ataamua kutengeneza kura feki ili ajihalalishie ushindi hewa aendelee kubakia madarakani, huku akiwadanganya wajinga ameshinda kwa kishindo.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,598
2,000
Ipo hivi ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga ndiyo kanuni ya asili.

Hakuna aliyedhani Dola imara ya Rumi ingeanguka kwa wakati huo.

Bahati mbaya sana waafrika bado tuna unyama ndio maana hatuwezi fundishwa na historia.

Nyerere na Karume walikufa ktk njia zile zile walizotumia kumaliza wenzao wakiwa mamlakani.

Mkapa ameendea njia ile ile kama aliowaacha watakavyoiendea.

Hakuna mji au tawala idumuyo milele hiyo ndio kanuni ya asili.
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
8,770
2,000
Hakuna MTU awaye yeyote alidhania au aliwahi hisi Eti Hitler siku moja angekimbia kiti nakujificha na mwisho kupotezwa kama alivyo poteza wenzake. Vitabu vinasema Hitler alitafutwa kama mithili ya panya popote alipo auwawe nakupotezwa. Dola ya Manazi ilikuwa ni Dola yenye nguvu kiasi ilipanga mistari wayahudi nakuwatia Moto kama kuni ama Kwa hakika alikuwa katili Sana.

Dola ya Mzee Mobutu MTU alie simamia mauwaji ya Patrick Lumumba na Mwisho akajifanya anamuenzi ili kuzima uwasi ulio Anza kuenea kwamba ndie alie husika na mauwaji Yale. Hata hivyo mwisho alianguka na leo kjiji chake ni magofu.

Kitakuwa stendi haki kutoelezea utawala wa Ghadafi mwamba wa Africa alieuwawa kikatili nakuburuzwa kama mbwa na wananchi wake. MTU alie wekeza ktk usalama na kupoteza mamia ya wapinzani wake mpaka wakashituka na kigunduwa Nani anawatafuna na mwisho wakamtafuna na yeye. Alikuwa kiongoz katili alie wapa Watu wake chakula Ila nyuma akiwachinja kama kuku ktk Banda.

Serikali zinaangukaje?
Serikali yeyote duniani inamifumo ya kitaasisi inayo Linda masilahi mapana ya serikali. Jambo ambalo viongoz wengi husahau nakuingia ktk mashaka nipale wanapo itumia serikali kuwa kama mali yao binafsi wakisahau wao ni taasisi ndani ya serikali na sio vingine inapo sema serikali na miundo wake kuna Taasisi nyingi zimo ndani yake na Ile ya Rais ni kipande Tu japo Kwa muonekano wa nje wengi tunadhani Rais aweza Kuwa ndio taasisi kubwa kuliko zote na anaweza Fanya lolote atakalo pasipo guswa na taasisi nyingine.

Jambo hili sii kweli Kwa Kuwa taasisi ya Rais ina vi sub coordination na main taasisi mfano Sheria unakuta kuna mahakama Ila kuna ofisi ya mwendesha mashitaka na Judiciary system. Ndio maana jaji mkuu anateuliwa Ila huwezi muondoa why?
Ndio maana serikali kamili ina Judiciary system, Executives and Judiciary.

Nini hasa kina angusha serikali?
Serikali nyingi huwanguka baada ya hii miili mitatu kusuguwana why? Hawa wote watatu KAZI zao huchakatwa ktk idara nyeti za Usalama na mule ndipo mtiti huwanza Jambo Baya kabisa linalotokea ni pale kiongoz mkuu anapo Anza pata wrong information zinazosababisha kufanya bad decisions zinachochea kuanguka kwake.

Ndio maana idara za usalama wa Taifa ni idara zenye nguvu Sana Kwa sababu ndio ubongo wa serikali. Ukitomasa tomasa hii idara nyeti basi jiandae kisaikolojia.

Nitaendelea...
Ulichoandika hakuna uhalisia na Mambo ya Tanzania.

Unajifariji kwa kuweka hadharani frustrations zako, you don't know anything on what happened to Germany. Mimi nimesoma masuala hayo ya second world war and politics of industrial states, huwezi kuilinganisha Hali iliyokuwepo Germany before the war na Hali iliyopo Sasa TZ ni tofauti kabisa ila kwa wewe uliyekaririshwa maelezo ya kibeberu unalinganisha na Hali ya Sasa hata maelezo kuhusu Libya huwezi kuilinganisha na TZ
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,555

Ni wewe kweli uliyeandika hivi?
 
  • Thanks
Reactions: lum

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,014

Ma dollar yote yataanguka isipokuwa dola la maccm
 
mtamamtete

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
258
250
Jaribu angalau uwe mwandishi wa vitabu vya riwaya kwa sababu uliyoandika hapa hayana uhalisia bali yana mambo ya kufikirika kama njozi!

Kuchambua geopolitics lazima uwe na ufahamu mkubwa!

Huu ni ushauri tu!
Chama cha majambazi hakitaki kusikia kwamba ipo siku hakitakuwa madarakani. Lakini ukweli ndiyo huo. Hata dola ya Mesopotamia haikuwahi kufikiria kwamba itatoweka duniani.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
37,500
2,000
Ulichoandika hakuna uhalisia na Mambo ya Tanzania.

Unajifariji kwa kuweka hadharani frustrations zako, you don't know anything on what happened to Germany. Mimi nimesoma masuala hayo ya second world war and politics of industrial states, huwezi kuilinganisha Hali iliyokuwepo Germany before the war na Hali iliyopo Sasa TZ ni tofauti kabisa ila kwa wewe uliyekaririshwa maelezo ya kibeberu unalinganisha na Hali ya Sasa hata maelezo kuhusu Libya huwezi kuilinganisha na TZ
Ulitarajia ifanane A-Z?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom