Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kiamataifa, Prof. Kabudi aliongea na vyombo vya habari kuhusu Tanzania kujadiliwa na Kamati ya Bunge la Ulaya kuhusu kuminywa kwa demokrasia...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Chichidodo ni aina ya ndege anayepatikana nchini Ghana. Kitu cha kipekee kuhusu ndege huyu ni kwamba anachukia sana kinyesi cha binadamu kwa nafsi yake yote, lakini chichidodo anapenda sana kile...
10 Reactions
73 Replies
9K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetaja kero nne ilizokutana nazo wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu, ikiwamo baadhi ya wagombea kuwatisha wasimamizi...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Mabibi na mabwana si haba kila mwenye akili zake akafanya tathmini kuhusu mustakabala wetu kama taifa. Katika tathmini kama hii si haba kwa awaye yote kutokujidanganya mwenyewe. Nyerere (rip) na...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Ili kushinda uchaguzi slogan huwa pia na mchango mkubwa Slogan mfano us ACT wazaledo ya Kazi na Bata ilikuwa hata haileweki inalenga nani Mkulima,mfanyabiashara,machinga ,wavuvi,, wafugaji, au...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wanajf, leo kuna jambo ambalo nimeona lina ukakasi sana kuhusu Lema. Lema ameondoka nchini kwa sababu vitisho anavyopewa kwa mujibu wake mwenyewe. Inaweza kuwa kweli au la, lakini ambacho...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi leo amewaapisha mawaziri 15 ambapo amewataka kuwa na hati nne kwa ajili ya kuengeneza mpango kazi kwa ajili ya wizara zao...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
MAJINA YA MADIWANI WATEULE WA VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) WALIOTEULIWA NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MWAKA 2020 MKOA WA ARUSHA Wilaya/halmashauri Majina 1. Arusha Jiji Sakina...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Benki kuu ya Tanzania leo imechukua usimamizi wa Benki ya kibiashara ya China kwa kushindwa kulinda vigezo vya kuendeleza kuwepo ikiwemo mtaji. Benki kuu kwa mamlaka iliyonayo kwenye sheria ya...
3 Reactions
69 Replies
9K Views
Najaribu kukumbuka tukio la Chadema kuwasimamisha uanachama wabunge wake waliokataa kutii maagizo ya chama ya kutoingia bungeni kutokana na Sakata la COVID 19. Nakumbuka sakata la Chadema na Dk...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
To me it’s evident that President Magufuli lacks the requisite statecraft to be the commander in chief. But right now that’s neither here nor there. Let’s talk about his post-presidency, for a...
14 Reactions
88 Replies
7K Views
Hongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
18 Reactions
217 Replies
17K Views
Dada halima najua uko poa kabisa Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume...
20 Reactions
316 Replies
24K Views
Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada. Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe...
21 Reactions
255 Replies
19K Views
Nilikuwa nafuatilia sana bunge lililopita na nikasikia kabudi amesema kwamba hakuna vita tulivyo shindwa katika historia alitaja nchi kadhaa ambao JWTZ wamewahi kufanya operation. Katika...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimeangalia teuzi nyingi kuanzia Ma DC,RC,Mawaziri,Makatibu wakuu na manaibu wao nikajiridhisha kuwa wengi wa wateule hawa wanatoka UDSM zaidi kuliko wale wanaotoka SUA. Pia nimejaribu kupata...
3 Reactions
87 Replies
12K Views
Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri.... Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Najaribu kuangalia hata huyu Wasonge ni Wakili na Mwanasiasa, Lau Masha ni wakili na mwanasiasa, Tundu Lissu ni wakili na mwanasiasa!tofauti ndogo tu ni kwamba Tundu Lissu ni mbunge na anaendelea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…