Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeona mtafaruku na mtifuano kwenye Social Media mara tu baada ya wale wanaodaiwa wabunge wa viti maalumu kutoka chama cha CHADEMA kuapa mbele ya spika leo. Mara tu baada ya tukio hilo katibu...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Habari wanajf, kama kawaida kuwetea kinachojiri, Mimi ni Mwanachadema na kamanda mwerevu, kumbuka wapo baadhi ambao wao ndio walipelekea makamanda wote tuitwe nyumbu. Lakini ukweli ni kwamba tupo...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasalaam!!! Leo Ni siku ambayo sitokuja isahau maishani mwangu Tena Mimi pamoja na wanachama wenzangu wa karibu. Tangu tunapata taarifa ya wabunge wetu wa chadema Tena waandamizi very...
24 Reactions
167 Replies
11K Views
Nasimama wima mbele zenu kushukuru kwa maumivu mliyoyapitia pamoja nasi, tangu tarehe 6/7/2020 Tulivyokamatwa na Jeshi la polisi na kupelekwa mahakamani tarehe 9/7/2020 na kunyimwa dhamana na...
26 Reactions
46 Replies
7K Views
Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum. Kundi...
34 Reactions
296 Replies
24K Views
Baada ya kuusikiliza kwa umakini mkutano wa Mdude Chadema na waandishi wa habari hivi, mambo yafuatayo ni dhahiri: 1. Mpaka sasa bado akili ya Mdude haijawa sawa kumwezesha kutaja watuhumiwa kwa...
9 Reactions
99 Replies
14K Views
Huku mtaani kuna wizi umetokea, mbiu imepigwa na mwizi alikuwa anakimbia, watu wenye ghadhabu walitoka nje lakini hawakumfukuza wala kumzuia mwizi aliyekuwa anapita katikati yao. Mwizi ameacha...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara baada tu ya matokeo ya uchaguzi viongozi wakuu wa CHADEMA walidai hawawezi kubariki uchafuzi na kwamba hakuna mbunge wao atakubali kuapishwa. Sasa wameapishwa! Nimesikia Lissu akihojiwa leo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na...
23 Reactions
288 Replies
30K Views
Wengi tunaamini kinachowafanya chadema wafikirie kususia ubunge au hata kuwasakama akina mdee siyo uchaguzi kutokuwa huru na wa haki bali ni mfumo dume ndani ya chama chetu hiki. Uchaguzi nchi...
1 Reactions
5 Replies
756 Views
Kutoka Vunjo Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Kimei amepita maeneo mbalimbali ya wafanyabiashara na kukutana na kilio cha kukatika kwa umeme kila siku bila ratiba maalum. Wafanyabiashara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Spika wa bunge la JMT mh Ndugai amesema wananchi wasichanganye kwamba mbunge ni lazima aape akiwa ndani ya bunge, kanuni hazisemi hivyo. Kwa mujibu wa kanuni kama kuna kikao cha bunge...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Niwe muwazi kwa haya yanayoendelea CHADEMA yametuchosha wengi hiki chama wengi tuliweka mategemeo makubwa wengine wamepoteza Mali viungo na hata familia naona chama. Hiki kinaenda pasuka vipande...
4 Reactions
4 Replies
866 Views
Baada ya kukosa nafasi ya kupiga kura 28/10/2020 niliumia sana kutomchagua mpinzani Mhe. Tundu Lissu. Ila kwa yaliyotokea leo nadhani hata ule uchungu umeisha woteee. 1. Viti maaalumu wamepewa...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Uchaguzi umekwisha,na kwa nguvu za kidola tumerudishwa katika mfumo wa chama kimoja huku kukiwa na vyama vingi vya kuzugia na kudanganyia dunia. Haya mambo si kwa faida ya Taifa zima, bali ni ego...
37 Reactions
42 Replies
4K Views
Video ya Mafanikio ya TIC chini ya Julliet Kairuki Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Akimsifu Julliet Kairuki na Makubwa Aliyoyafanya. Shuhudia Jinsi Julliet Kairuki alivyokuwa anahamasisha...
15 Reactions
203 Replies
31K Views
Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe. Alianza kwa kuwatumia rafiki...
37 Reactions
106 Replies
16K Views
WARAKA WA WAZI KWA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MH.FREEMAN A. MBOWE Mh. Mwenyekiti pole na majukumu ya ujenzi wa demokrasia nchini, Zaidi pole sana na shughuli za uchaguzi zilizokoma takribani...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom