Zitto Kabwe na Maalim mkiweza kuzikanyaga nafsi zenu mtakua imara zaidi.

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
4,342
13,069
Baada ya mbilinge mbilinge za uchaguzi mkuu na kutokea yaliyotokea, wale wote waliokua na hamu ya kuona mabadiliko tulibaki na mfadhaiko. Ila kwa hili la Halima Mdee na BAWACHA ndio limekuja kutunyong'onyeza na kuondoa imani katika upinzani katika nchi hii.

Maalim Seif ana offer tamu huko Zanzibar ila kwa nature ya wanasiasa wetu kuchomoa ni ngumu sana. But we're giving you a benefit of doubt, prove us wrong. Nasi tupate kusema kuna upinzani na tujue kua ni suala la muda tu, mabadiliko yatakuja. CHADEMA haiweleki ni muda wenu sasa kutuaminisha kua kuna chama cha upinzani kinachosimamia haki na si genge la wapigaji tu.​
 
Maslahi ya nchi kwanza, ili kujenga umoja na mshikamano kama nchi lazima hayo yafanyike. Bado Maalim atakuwa makamu wa kwanza asp! Tujenge Tanzania ni yetu sote!
 
Back
Top Bottom