Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekusikia Spika Ndugai ukisema kina Mdee, Bulaya na matiko wameteseka kwa ajili ya Mbowe halafu Mbowe anawafanyia hiyana kwa kuwafukuza chama ili watoke bungeni. Eti Mdee alivunjika mkono kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach. Kwamba...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali, Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu...
82 Reactions
217 Replies
20K Views
Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki. Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha...
20 Reactions
77 Replies
9K Views
Tukio la karne na kihistoria la Spika wa Bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima Mdee na wenzake 18 nje ya ukumbi wa Bunge bila kuwepo kwa Wabunge wengine, wala kikao...
15 Reactions
39 Replies
4K Views
Baada ya uchaguzi wa mwaka huu ndipo utachipuka upinzani halisi na thabiti zaidi japo utachukua muda mrefu kuwa imara. Hoja yangu imejengwa juu ya mtazamo huu 1) Kuanzia mwaka 2021 hakutakuwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Kwa siku za karibuni, kumekuwepo na mjadala mkubwa sana juu ya sakata la wabunge 19 wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokraaia na maendeleo ( CHADEMA) Kwa mujibu wa ibara ya 71 (1)(e) ya...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Nimefuatilia kwa karibu sakata la wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA. Nimegundua kuwa CCM wala tume hawahusiki kabisa wanasingiziwa na kuonewa. Kwanza Tume kazi yake ni kupokea majina kutoka kwa...
2 Reactions
127 Replies
7K Views
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA. Leo 19:25hrs 28/11/2020 Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama...
27 Reactions
154 Replies
18K Views
Nimesoma mahali Watanzania wanashangilia sana Raia wa Kenya aliyekuwa awe Mkurugenzi wa Cocacola Kwanza kuzuiwa na uhamiaji. Watu wanashangilia sana kana kwamba sasa maisha yao yanaenda...
56 Reactions
252 Replies
21K Views
Leo CHADEMA imetoa uamuzi wa kuwapa wabunge wake 19 wa viti maalum nafasi ya kuomba msamaha ili waendelee kuwa wanachama. Katika tamko lao, hawajakaripia wala kujitenga na Mbunge wa Nkasi...
6 Reactions
98 Replies
10K Views
Kwanza, nianze kwa kuwapongeza Jamiiforums kwa kazi kubwa mnayofanya ya kutupasha habari na kuwasaidia wenye matatizo mbalimbali kupitia Forum hii. Ninajua si kazi rahisi kusoma kila mtu...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna mambo mengi sana ya msingi ambayo sikubaliani na aina ya utawala wa rais Magufuli. Mathalani sikubalini na matendo yake ya kuminya haki za msingi za wananchi kujichagulia viongozi wao kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
CHADEMA MTAFUKUZA WANGAPI? TAZAMENI MLIPO JIKWAA NA SIO MLIPO ANGUKA Kamati Kuu ya CHADEMA hivi Karibuni imetangaza kuwavua nafasi za Uongozi na Uanachama Wabunge wake Viti maalum (19) kwa tuhuma...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ameanza kazi rasimi katika Jimbo hilo kwa kutoa msaada wa baiskeli za walemavu zipatazo 100 huku akiahidi kuwapatia matibabu bure walemavu 565 wa jiji la...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Ni swali ambalo watanzania makini lazima tujiulize, uchaguzi umeisha na wapinzani njaa wamekataliwa na wananchi. Je, tutapata Chama makini ambacho hakina wapinzani njaa au ambao na CCM...
0 Reactions
98 Replies
6K Views
Mh. Rais hongera kwa kutangazwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Naomba nikushauri mambo yafuatayo: 1. Ongoza nchi kwa kufuata katiba, sheria na taratibu. Usiige staili ya Magufuli...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari ya leo? Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na...
5 Reactions
104 Replies
11K Views
Back
Top Bottom