Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu habari ya leo? Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na...
5 Reactions
104 Replies
11K Views
SalaamJf, Hope wote bila kujali itikadi za vyama vyetu vya siasa tunamfahamu fika CDE Hamphrey Polepole ambaye ameteuliwa kuwa mbunge. Aidha, kwa mtizamo wangu kiongozi huyu tangu kuasisiwa kwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Tunamshukuru Spika wa zamani Mhe. Pius Msekwa kwa kujaribu kuzungumzia kasoro na mwenendo wa bunge la Job japo alitumia akili kubwa zaidi kwa kuzungumzia wale wabunge wa viti maalum wa Chadema...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Machi 11, 2017 Kamati Kuu ya CCM iliwafukuza wanachama kadhaa wa chama hicho na wengine kupewa onyo kwa makosa mbalimbali ya maadili kinyume na Katiba na kanuni za uongozi na maadili za CCM...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi huwa najiuliza kwa nini mawaziri wasukuma wanakuwa waadilifu kwenye kazi zao wakitumikia serikali ipasavyo na kusahau majimbo yao? Kwa nini hawatumii nafasi yao kuleta maendeleo majimboni...
3 Reactions
107 Replies
18K Views
Joseph Bomani Nyanda akiongea na vyombo vya habari kwenye mahojiano maalum kati yake na Pashal Kyoma amesema kuwa, aliamua kutumia usafiri wa baiskeli ili kuakisi maisha ya sehemu anakotokea na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikishinda hapa JF usiku na mchana muda tena sasa nasubiri press ya kina Halima Mdee na wenzake kujibu Maamuzi ya Kamati kuu ya CHADEMA ya kufukuzwa kwao uanachama mpaka nimechoka., Sasa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Chama cha NCCR mageuzi kimemfukuza uanachama mbunge wake David Kafulila. Kwa uamuzi huo uliofikiwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho muda mfupi uliopita huenda akapoteza kiti cha Ubunge. Salama ya...
0 Reactions
386 Replies
38K Views
Wanabodi, Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?. Jee...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wanabodi, Hii ni TV Program Alert, ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi, inashiriki katika maonyesho ya kilimo ya Nane Nane katika uwanja wa Mwl. J.K Nyerere mjini Morogoro. Ushiriki huo wa Tume ya...
7 Reactions
213 Replies
23K Views
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua. CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya. Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
50 Reactions
175 Replies
13K Views
Hivi vyama vingine bora vife tu. Havina maana kabisa kwenye siasa. Kwanza havijawahi kuifanyia chochote Tanzania
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati wa Tawala zilizopita shilingi ilikuwa inacheza sana, ilikuwa haitulii kabisa. Hata JPM alipoingia madarakani kuna kipindi shilingi iliyumba sana hadi tukalamika hapa JamiiForum kuwa...
6 Reactions
120 Replies
13K Views
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata...
76 Reactions
254 Replies
31K Views
Ni kusini mwa Tanzania nimetembelea Mtwara, kama Msomi wa kati niliyeamua kujiajiri kutoka nyanda za juu kusini nimeamua kujiajiri nipo kusini ambako mjini Masasi kuna Tandale Kama ile ya Dar...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau wa JF habari! Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe. Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Usiku wa tarehe 27/11/2020 nilimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akitoa taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kuhusu wabunge wa vti maalumu wa chama chake alioishia kuwavua vyeo vyao...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
HALIMA MDEE NA MWENZAKE 18 WAMEJIMALIZA KISIASA. Habari za siku za mwisho wa wiki Wajumbe wa JF, Hakikaki katika kitu ambacho hua naamini kwenye maisha yangu ni kwamba njia ya mkato kwenye...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam, Nmetafakari sana juu ya mambo kadhaa ya chaguzi zetu hasa hili la Viti maalumu vya CHADEMA na kuona iko haja ya NEC kutolea ufafanuzi juu ya mambo yafuatayo; Vinginevyo naona kama...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter: With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the...
73 Reactions
414 Replies
40K Views
Back
Top Bottom