Agresive
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 889
- 1,226
Wakuu habari ya leo?
Ukichunguza kwa jicho la tatu unaona wazi kabisa suala la wabunge wa viti maalum CHADEMA, kuanzia Spika na Dr. Mahera wote wanawaunga mkono na kusema ni wabunge halali na kanuni zote zimefuatwa.
Nahisi lazima kuna kikao cha siri na chenye ajenda nzito baina ya hao watu na watu walioshika dola.
Saivi wamevuliwa uanachama na watakosa sifa za kuwa wabunge.
SWALI NINALOJIULIZA:
JE, SERIKALI IKIAMUA KUWALINDA ILE KINDAKI NDAKI JE WANAWEZA KUENDELEA KUWA WABUNGE?
Mfano waende mahakamani na kesi ipigwe danadana mpaka miaka 5 iishe na muda huo wako mjengoni Chadema watafanya nini?
Na wakipeleka majina TUME YA UCHAGUZI halafu TUME majina hayo ikafungua maandazi na kukaa kimya itakuwaje.
Wajuzi wa mambo naombeni majibu.