SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,051
- 9,005
Mh. Rais hongera kwa kutangazwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Naomba nikushauri mambo yafuatayo:
1. Ongoza nchi kwa kufuata katiba, sheria na taratibu. Usiige staili ya Magufuli ya kuropoka au kudhalilisha watu ili kupata sifa za kisiasa.
Wewe ni kijana msomi mwenye upeo mkubwa wa akili (IQ) pia umepata exposure ya kuishi nje na kukaa Ikulu hivyo hatutegemei kuona unatumia madaraka kwa staili za kishamba au kilimbukeni.
2. Usiumize wafanyabiashara kwa namna yoyote. Sekta binafsi ndio imebeba uchumi kwa kuwa Serikali haiwezi kuajiri watu wote. Pia mapato ya serikali yanategemea mafanikio ya sekta binafsi.
3. Tuna imani na wewe kuwa utaenda kuimarisha umoja wa kitaifa pia utaenda kuinua uchumi ili Zanzibar iwe kama Shelisheli au Brunei.
Ni hayo tu mh. Rais.