Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.

Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
 
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wanna ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kuusikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
 
Kwa maelezo ya Mbowe, Halima na wenzie bado wana options mbili za kurudi kundini

1) Waandike barua kuomba radhi
2) Wakate rufaa ili kesi yao iende kwenye Mkutano Mkuu wa Chama

Kwa kuwa siasa za Bongo hazieleweki na kwa kuwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa, lolote linaweza kutokea.
 
Kwa akili ya kawaida unaona ni ngumu kukubalika lakini kisiasa( ushabiki) inawezekana.

Mfano tumeshuhudia wanasiasa kadhaa baada ya kushindwa kufikia malengo yao katika chama tawala, wakahamia upinzani wakapokelewa.

Tena kwa kupitishwa kugombea uraisi kupitia vyama hivyo.

Sasa hayo kama sio maajabu ni nini?

Ndio maana sishabikii siasa mimi.
 
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
SI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
 
Aisee kumbe ndiyomaana mmemuapisha pale gereji?
FB_IMG_1578677028602.jpg
 
SI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
Ndio maana nimeuita ukweli Mchungu maana kwa baadhi yenu Ni ngumu kumeza
 
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Kama ana akili achutame tuu akae pembeni hata huko chadema kwenye asirudi na ccm asiende atulie huu upepo upite kwanza tope likauke bila hivyo atazidi kudondoka na kuchafuka asiwe na haraka za safari
 
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Sio lazima apewe nafasi ya kisiasa, anaweza kupumzushwa ubalozini au kazi nyingine za kiutendaji serikalini chini ya uangalizi.

Zipo njia 1000 za kumnasa Nyumbu:)
 
Back
Top Bottom