Mahubiri ya Baba Askofu Mtetemela pale KKKT Mbezi Beach yamenishawishi kuachana na siasa za "Kishabiki"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,731
141,595
Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT Mbezi Beach.

Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.

Baba askofu amesisitiza Yesu anatutaka sisi waumini wa Kanisa kuwa nuru ya Ulimwengu.

Natangaza kuachana na siasa za kishabiki na nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.

Ngoja nichukue clip ya mahubiri hapo Upendo TV niwawekee.

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Nyongeza hapo mbunge ant slavery huyo mmoja awali alipigwa na majority 99%. Ungeachana na kusapoti dhuluma ya CCM dhidi ya haki na utu wa Watanzania ungetendea haki mahubiri hayo.
 
Hongera lakini hautaweza. Najua wewe ni CCM kindakindaki. Tutakutana na hoja unayoweza kuijibu au kufafanua utarejea tu. Kikubwa jitahidi kuwa mkweli tu kwa sasa. Si kusifia ndiko kunakowasumbua walio wengi.
 
"my heart says no,
but my body...my bodyyy says yeeeees!!!"
 
Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.
kweli kabisa na tunatamani sana kama huyu William Wilberfoce angekuwa hai leo basi angetusaidia kuwahubiria ndugu zetu CCM kuacha siasa za chuki na visasi ili wote tujenge taifa letu kwa usawa na haki maana hata Yesu Kristo mwenyewe alisema nguzo kuu ya ukristo wetu ni UPENDO.
 
Kubakia CCM mi kukiuka wito ulioumesa bado unabaki msaliti wa haki na mtukuza dhuruma kwa jamii.
 
Mtetemela ni miongoni mwa maaskofu smart sana nchi hii. Itakua umemuelewa vibaya tu. Rudia kumsikiliza vizuri.

He is very smart yule mzee
 
Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT mbezi beach.

Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.

Baba askofu amesisitiza Yesu anatutaka sisi waumini wa Kanisa kuwa Nuru ya Ulimwengu.

Natangaza kuachana na siasa za kishabiki na nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.

Ngoja nichukue clip ya mahubiri hapo Upendo tv niwawekee.

Mungu wa mbinguni awabariki!
kumbe ulikuwa na lengo hilo nyie washindi wa asilimia 98%
 
Nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukifurahia mauaji ya Wapemba wasio na hatia, Kristo akutoa kwenye kundi la wahalifu, aigange na roho yako
 
Kiukweli jana nilibarikiwa sana na mahubiri ya askofu mkuu mstaafu wa Kanisa Anglican Donald Mtetemela aliyoyatoa kwenye mkutano mkuu wa Sinodi ya DMP katika Kanisa la KKKT mbezi beach.

Kwamba William Wilberfoce aliingia bungeni huko Uingereza na kujenga hoja zilizopelekea biashara ya utumwa duniani kukomeshwa na yule mmiliki wa meli za kusafirisha watumwa akaokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wake.

Baba askofu amesisitiza Yesu anatutaka sisi waumini wa Kanisa kuwa Nuru ya Ulimwengu.

Natangaza kuachana na siasa za kishabiki na nitaendelea kuwa mwanachama mwaminifu wa CCM.

Ngoja nichukue clip ya mahubiri hapo Upendo tv niwawekee.

Mungu wa mbinguni awabariki!

Hata Shetani Alishawahi kuwa Malaika.
 
Back
Top Bottom