Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA

Najua hata beberu uchwara wa ubelilgiji Tindu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa na Kamati Kuu ya CHADEMA

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia CHADEMA kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,

Kuteuliwa kwao halafu na kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,ikawaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi yatafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu imepewa barua ya sababu,hivyo ilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa kusema bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiliberali, kumbe CHADEMA kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini. Kama ni kweli ukifukuzwa CHADEMA basi usiende Mahakamani,basi Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani, hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi, Mzinzi, Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani?

Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chenye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi?
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM? Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza? Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae, hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa CHADEMA ni chama kinachojali haki, uhuru na demokrasia kwa vitendo, chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wananchi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi? Kumbe CHADEMA kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza?

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina Mama 19? yakiwemo majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema, majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed.

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho, Je, siku akishika dola itakuaje? CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya CHADEMA lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.

Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?

Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,

Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.
Hata Magu atashangaa kijana huyu mbona kaandika pumba uteuzi hupati
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia Chadema

Najua hata beberu uchwara wa ubelilgiji Tindu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa na Kamati Kuu ya CHADEMA

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia CHADEMA kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,

Kuteuliwa kwao halafu na kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,ikawaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi yatafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababu,hivyo ilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta!?????

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa kusema bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiliberali,kumbe Chadema kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini!Kama ni kweli ukifukuzwa Chedema basi usiende Mahakamani,basi Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani,hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi,Mzinzi,Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani!!???

Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chenye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi??
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM ?? Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza? Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae ,hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa Chadema ni chama kinachojali haki ,uhuru na demokrasia kwa vitendo,chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wananchi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi? Kumbe Chadema kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza!?.

Hivi ni akina mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina Mama 19? yakiwemo majina nguli kabisa,magalacha,wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema,majina kama Halima Mdee,Grace Tendega,Ester Matiko,Cecilia Pareso,Ester Bulaya,Agnesta Kaiza,Nusrat Hanje,Jesca Kishoa,Hawa Mwaifunga,Tunza Malapo,Felister Njau,Naghenjwa Kaboyoka,Sophia Mwakagenda,Kunti Majala,Stela Fiayo,Anatropia Theonest,Salome Makamba,Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed.

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho ,je, siku akishika dola itakuaje??CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya Chadema lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.

Hata kama utasomea Masters ya Presidency huwezi kuwa Rais ni kama ambavyo umesoma Shahada ya Utawala na Uzamili juu ya Uongozi HAIKUFANYI kuwa mchambuzi mzuri!

Ni upuuzi tu ulioandika ili uonekane na kuitwa pale Lumumba!
 
Watu wa Lumumba akili zao sijui zipo vipi!!

Nahisi nimeona thread pahala Pascal Mayalla nae akimuita au akiashiria eti Halima Mdee ni Gwiji la Sheria...

Hebu nisaidieni...

Ina maana ukishasoma tu sheria na kutoka na LLB yako tayari unakuwa Gwiji/Guru la Sheria?

Halima amewahi ku-practice law kwenye mahakama au taasisi ipi na nafasi ipi ya kisheria?

Sina shaka Halima sio Jaji wala Hakimu... je, ni Wakili au Mwanasheria wa taasisi ipi?!

Amewahi kuwakilisha akina nani na kwenye kesi zipi, na matokeo ya kesi hizo yalikuwa vipi?!

Btw, ina maana Mdee amekuwa Gwiji la Sheria hivi sasa baada ya kutaka kuhalalisha udhalimu wa watawala?!

Hivi nyie watu mtaendelea kujitoa ufahamu hadi lini?!
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE AMEISHINDA KAMATI KUU YA CHADEMA.

Leo 19:25hrs 28/11/2020

Guru la Sheria nchini Tanzania, Halima Mdee anaelekea Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Kamati Kuu ya CHADEMA ikibakia phase III ya "the art of political war" baada ya kuchakaa kwa kupigwa kwa knock out na kuomba washindwe kwa kuwa hawajui wanahitaji nini na wafanye nini.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia Chadema

Najua hata beberu uchwara wa ubelilgiji Tindu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa na Kamati Kuu ya CHADEMA

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia CHADEMA kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,

Kuteuliwa kwao halafu na kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,ikawaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi yatafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao mfano akina pambalu na mnyika. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19. Kamati kuu imepewa barua ya sababu,hivyo ilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta!?????

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa kusema bora kuwa na Chama kibovu cha Kijamaa kuliko kuwa na Chama kibovu cha Kiliberali,kumbe Chadema kingeingia madarakani tungeshuhudia ukiukwaji mkubwa sana wa haki za Binadamu kuliko ule wa Bokasa na Iddi Amini!Kama ni kweli ukifukuzwa Chedema basi usiende Mahakamani,basi Mbowe ni Dikteta Mbaya kuliko shetani,hebu fikiri Ushenzi na ubabe alio nao Mlevi,Mzinzi,Mhuni, Gaidi na Muuaji na Mwongo angekua ndio mwenyekiti wa Chama kilichoshika Dola wasaliti wangefanywaje kama sio kunyongwa hadharani!!???

Kumbe tuna chama cha kiriberali na kidemokrasia chenye itikadi kali kuliko ya makundi ya kigaidi??
Kumbe ile misimamo yao ya kuiga China kuwanyonga wenye kukiuka maadili bado wanayo halafu wanasema kuwa wao ni Chama mbadala kwa CCM ?? Demokrasia ipi wanaihubiri isiyofuata misingi ya haki za watu na kuwasikiliza? Hivi walishindwa nini kusikiliza ombi la kina Mdee la kupewa siku tano zaidi ili wajiandae ,hata kama wangeenda mahakamani ?
Huo ungekua ni mfano mzuri wa kuuonyesha ulimwengu kuwa Chadema ni chama kinachojali haki ,uhuru na demokrasia kwa vitendo,chama kinachowafanyia unyama watu waliokipigania kwa Jasho na Damu kitakuwaje kwa wananchi wengine ambao sio wanachama wao na wanawapinga wazi wazi? Kumbe Chadema kingeingia kadarakani kingeweza kuwafunga na hata kuwanyonga Wapinzania wao wote bila hata kuwasikiliza!?.

Hivi ni akina mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale akina Mama 19? yakiwemo majina nguli kabisa,magalacha,wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema,majina kama Halima Mdee,Grace Tendega,Ester Matiko,Cecilia Pareso,Ester Bulaya,Agnesta Kaiza,Nusrat Hanje,Jesca Kishoa,Hawa Mwaifunga,Tunza Malapo,Felister Njau,Naghenjwa Kaboyoka,Sophia Mwakagenda,Kunti Majala,Stela Fiayo,Anatropia Theonest,Salome Makamba,Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed.

Kwa nini hawakusikilizwa ?
Mbowe hana dola anakua mbabe kiasi hicho ,je, siku akishika dola itakuaje??CCM imekua ndio kimbilio la Watu walioumizwa kisiasa tu ndani ya Chadema lakini hawaoni kuwa huko ni kukibomoa chama.
Silinde alikua na kosa gani kutofautiana msimamo tu wa kuwawakilisha wananchi ndani ya bunge kipindi cha Korona ikawa ndio sababu ya kumvua uanachama ili tu asujudu mbele ya Mbowe!
Rwakatare alikosa nini?

Selasini, Komu, Kubeneaa na wengine wengi ni Chama kisichokua na uvumilivu hata kidogo? Dunia tusipokua tunavumiliana utakua ni uwanja wa vita.
Uvumilivu ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa.Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,

Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,Ningekuwa nimeazimwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa muda kwanza ningemzuia Katibu Mkuu,Bwana John Mnyika asiwashe taa kali kwa Chadema kwani Bwana Mnyika aliiweka Chadema kwenye spotlight kwa kuwatishia akina mama na akina Mama hao wa Bawacha wakaanza kuigopa Chadema hata wakashindwa kufika kwenye kikao, kama Bwana Mnyika asingewatisha Wakina Mama wale 19 basi wangefika kikaoni,wangeshughulika ndani ya chama kutafuta jibu lake mwafaka hata kabla ya kuita waandishi wa habari.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Halima & Cos kuendelea na ubunge hadi 2025, chadema wakurupukaji hadi inauma.
 
Umechambua vizuri sana, hiki kikundi kinavyopotea na sawa na NCCR au CUF ilivyopotea. Ila wao hawawezi kuliona kwa sababu sikio la kufa na kwa sababu ni mashetani
 
Back
Top Bottom