Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu...
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...
Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda
Leo narudia tena...
Na Humphrey Shao, Msakuzi, Dar es Salaam
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Watanzania waweze kumpa ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano tena hapa nchini huku mambo yakiwa ni tofauti kwa Rais...
Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika...
Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu...
Rejea tena kichwa cha mada hapo juu.
Muda unakimbia kwa kasi na mengi yanatokea na kupita, kumbukumbu huwa zinabaki.
Huenda sina kumbukumbu za kutosha, lakini kwa kadri ya 'hansadi' zangu...
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa...
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:-...
Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge.
Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu...
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya...
Taifa letu tangu limepata uhuru limekuwa likitawaliwa kwa misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi yetu
Ndio maana hatuoni nchi hii ikiendeshwa kwa presidential...
Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo...
Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo,
1. Kilwa Kaskazini
2. Kilwa Kusini...
Wakati naelekea kukabidhi kijiti kwa vijana wenzangu kukisemea chama na Serikali mitandaoni nimeona nitoe mtazamo wangu kuhusiana na Uchaguzi wa 2025, ambao Mwenyenzi Mungu akijaalia natazamia...
Nimetafakari sana kisheria kuhusu kufukuzwa akina Mdee uanachama ninapata shida kidogo. Sina uhakika kama suala hili lilifanyika with due diligence. Hii ni kwa sababu kwa hali ya kawaida walipaswa...
Nimewiwa kutoa tahadhari kwa Chama tawala na pendwa! Cha CCM juu ya nguvu hii kubwa inayotumika kuwavuta ndani ya chama viongozi au wanachama wenye ushawishi kutoka katika Vyama vya upinzani. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.