Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumebakiza dakika chache ili tuweze kufanya mabadiliko ya kweli, chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake! Tukumbuke vifo vya Watanzania wasio na hatia kama Aquelina, Azory...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya. Tuliambiwa tudai haki yetu tukagoma. Na mimi...
23 Reactions
84 Replies
8K Views
Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli...
32 Reactions
96 Replies
8K Views
Kuwatetea Halima James Mdee na Esther Bulaya kuhusiana na utovu wa nidhamu ni lazima ujitoe ufahamu kidogo. Tukitaka kujenga jamii ya watu waadilifu ni lazima tuwe wakweli. Halima James Mdee...
25 Reactions
94 Replies
9K Views
Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
A POLITICAL WATCHDOG:HUMPHREY POLEPOLE MZALENDO ANAKAYEKWENDA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI NDANI YA BUNGE NA KUREPORT KWA MHE RAIS. Leo 14:45hrs 29/11/2020 Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa,na Katibu wa...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimeumia sana na jinsi hali ya kisiasa inavyoendelea hapa nchini. Nimeumia zaidi kuona viongozi wa dini wanavyosifia serikali hii iliyojaa kila aina ya dhambi na kuacha kukemea mauaji, ukabila na...
25 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais Magufuli Mimi kama Mtanzania nachukua jukumu hili kukufahamisha kuwa hospitali ya mkoa wa Lindi Sokoine Ina watendaji/ viongoz wabovu kuwahi kutokea katika historia ya sekta ya afya mkoani...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wana Ukumbi. Najua bado kuna mjadala mkubwa na simtofahamu ndani ya CHADEMA, wafuasi wa CHADEMA hawaamini kinachoendelea ndani ya chama chao. Hili sakata la CHADEMA liwe funzo kwa vyama vingine...
22 Reactions
63 Replies
7K Views
Nionavyo nyuma ya pazia kuna mambo magumu sana..Kuna kila dalili kuna kundi la watu aidha liko CCM au nje ya CCM ndio hukomelewa kwa maksudi kupitia CHADEMA. Hivyo kufanywa hivyo mpaka kuamua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni dhahiri kila aliye na ufahamu, akili, hekima na utashi, anafahanu kuwa Taifa letu, awanu hii limepata mtihani ambao halijawahi kuupata. Taifa limekosa afya. Afya ya Taifa ni umoja, mshikamano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna...
37 Reactions
160 Replies
14K Views
Akizungumza baada ya kuwaapisha wabunge wateule, Spika Ndugai amekemea vikali watu wanaodharau shughuli zinazofanywa na Bunge la Tanzania. "Wako rafiki zetu ambao hivi karibuni wamejipambanua kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kuwaambia watanzania kwamba huenda future yetu si nzuri sana. Hii ni kwa tafsiri ya kwamba pasipo na haki popote amani haiwezi kupatikana. Kama ipo amani ni ya kulazimisha tu...
25 Reactions
56 Replies
4K Views
Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Japokuwa Spika Job Ndugai ameshaonyesha msimamo wa kuwatambua wabunge wa Viti Maalumu 19 wa chadema walioapishwa, ni rai yangu kuwa CHADEMA wapeleke taarifa kamili kwa Spika juu ya kufukuzwa kwao...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Mbunge wa viti maalum kupitia Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania TUCTA TUCTA | Trade Union Congress Of Tanzania baada ya kupitishwa na Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania UWT . Mbunge...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom