Sasa Watanzania wanangojea kuona Wabunge wa kuteuliwa na Rais wakiapishwa haraka haraka na Ndugai kama akina Mdee

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,115
35,121
Tukio la karne na kihistoria la Spika wa Bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima Mdee na wenzake 18 nje ya ukumbi wa Bunge bila kuwepo kwa Wabunge wengine, wala kikao rasmi cha Bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na Kikatiba.

Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka Spika Ndugai kuwaapisha chap chap Wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya Kibunge.

Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?

Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
 
Hahahaaa! Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.

Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi. Halafu jioni wakaacha kuhesabu kura kwenye hayo makaratasi. Badala yake wakasoma matokeo yaliyotoka kwa Mahera!

Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
 
Tukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.

Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.

Kile kituko cha akina 'covid19'
Ndugai alifanya haraka haraka ili kusije kuwa na mabadiliko. Kwa Polepole na mwenzie hana haraka
 
Hawa watakwenda kuapia sebuleni kwake Spika...

Kuna MATAGA humu wanasema mbunge huapa mbele ya "Bunge" na siyo mbele ya "Wabunge"...

Yaani hawa jamaa John Pombe Magufuli amezi - dilute akili zao mpaka hazina radha tena....

Kwa hiyo kwao " Bunge" ni Job Ndugai...!!
 
Hahahaaa... Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.

Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi.

Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
Mkuu,

Umetisha !
 
Trump alisema kweli naogopa hata kurudia ukweli ustarabu ni Zero nakumbuka hadithi ya Msukuzi kuingia choo pale Kilimanjaro hoteli baada ya kuutwika mtindi pamoja na PhD yake alianza kuimba kikwao
 
Hawa watakwenda kuapia sebuleni kwake Spika...

Kuna MATAGA humu wanasema mbunge huapa mbele ya "Bunge" na siyo mbele ya "Wabunge"...

Yaani hawa jamaa John Pombe Magufuli amezi - dilute akili zao mpaka hazina radha tena....

Kwa hiyo kwao " Bunge" ni Job Ndugai...!!
Mbona Spika mara baada ya kuwaapisha akina Mdee (Rejea clip ipo you tube) alielezea vizuri tu...kikatiba na kikanuni za Bunge utaratibu wa kuapa jinsi ulivyo. Kwamba kanuni mpya ya bunge baada ya kurekebishwa bunge lenyewe inamruhusu Spika kumwapisha m_mbunge Mahali popote atakapopachagua Spika mwenyewe Ili mbunge huyo aanze Kazi mapema pasipo kungojea kuapishwa mbele ya wabunge wengine wakati wa kikao cha bunge.

Kimsingi...Mbunge anaapa mbele ya Spika na si ndani ya ukumbi wa bunge au wakati wa kikao cha bunge au mbele ya wabunge.
 
Tukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.

Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.

Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?

Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
Tupo tumsubiri subwoofer wetu!
 
Hahahaaa! Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.

Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi. Halafu jioni wakaacha kuhesabu kura kwenye hayo makaratasi. Badala yake wakasoma matokeo yaliyotoka kwa Mahera!

Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
Mimbwa wa Nyerere sio, mwenyewe kafa Mimbwa inakwenda hovyo hovyo. Nimecheka sana
 
Mbona Spika mara baada ya kuwaapisha akina Mdee (Rejea clip ipo you tube) alielezea vizuri tu...kikatiba na kikanuni za Bunge utaratibu wa kuapa jinsi ulivyo. Kwamba kanuni mpya ya bunge baada ya kurekebishwa bunge lenyewe inamruhusu Spika kumwapisha m_mbunge Mahali popote atakapopachagua Spika mwenyewe Ili mbunge huyo aanze Kazi mapema pasipo kungojea kuapishwa mbele ya wabunge wengine wakati wa kikao cha bunge.

Kimsingi...M bunge anaapa mbele ya Spika na si ndani ya ukumbi wa bunge au wakati wa kikao cha bunge au mbele ya wabunge.
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
 
May be kuwaapisha kihivyo ndio kukwepa kwenyewe mtego wa kisheria huko mbelembele likitokea la kutokea
 
Hahahaaa! Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.

Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.

Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi. Halafu jioni wakaacha kuhesabu kura kwenye hayo makaratasi. Badala yake wakasoma matokeo yaliyotoka kwa Mahera!

Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
Sielewi umedhamiria kuandika huu upumbavu au,njooo na hoja za msingi ueleweke xax mbwa kaingiaje kwenye current issue kama ilivyoelezwa hapo juu,punguza mhemuko
 
Tukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.

Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.

Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?

Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
Isikupe tabu sana kuna wakat sio lazma uelewe kila kitu kuna vingn unajaza kweny ubongo tu azikusaidiii chchte,ndugai anaendesha binge kwa katiba Sasa cjui we ulitaka afanyaje I'll uridhike
 
Hawa watakwenda kuapia sebuleni kwake Spika...

Kuna MATAGA humu wanasema mbunge huapa mbele ya "Bunge" na siyo mbele ya "Wabunge"...

Yaani hawa jamaa John Pombe Magufuli amezi - dilute akili zao mpaka hazina radha tena....

Kwa hiyo kwao " Bunge" ni Job Ndugai...!!
Kwahiyo Ndugai ndio bunge?au pale ni mbele ya bunge? kwanini mnajitoa ufahamu?ni njaa au...
 
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
Ukiwa CCM ukubali kuwa mjinga. Waliiba kura kipumbavu sana sasa wanapigwa spana na Jumuiya za kimataifa na ombwe ya kukosa fedha za kibajeti ndiyo mabichwa yanapata akili tena!
 
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni!

Haya maajabu utazunguka duniani kote, utayakuta katika nchi moja pekee, inayoitwa Tanzania!
 
Back
Top Bottom