Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mining: Why communities get less By Polycarp Machira THE CITIZEN A new report by an international organisation on mining says weak governance at national and regional levels hindered...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Utumishi wa Umma atakayeshindwa kuwasilisha cheti cha elimu na taaluma au “Index number” ya mtihani ili zihakikiwe na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), itakapofika tarehe 1 Machi, 2017atakua...
1 Reactions
144 Replies
16K Views
Tamisemi imefanya vijana wengi waliosoma kudharauliwa na hata kutukanwa mtaani. Jana usku alinipigia mzazi simu akaniambia kwann hutaki kufanya kazi Serikalini? Unaidharau Serikali imetoa ajira...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Wiki hii nimejifunza ya kuwa kuna mapinduzi matakatifu na mapinduzi haramu. Ndugu zetu wazanzibari wataadhimisha miaka 52 ya mapinduzi matakatifu yaliyotokea January 12, 1964. Ila wabobezi wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema n.k wawe Mawaziri? Khaa...
15 Reactions
82 Replies
5K Views
Mwanasheria, Msomi, mwana wa mfalme RizOne! Siku zile Saba bado? Sijakuona Kisutu.....Mtikila siku unahesabu vipi? Zile zako Saba bado pia?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndugu wana JF. Hivi katiba ya Tanzania bado inamlinda rais aliyestaafu ingawaje amefanya makosa ya jinai? Na kama jibu ni ndio, kuna mwelekeo wowote wa kubadili kipengee hicho katika katiba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM TUME YA uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anapokea taarifa za kamati mbili zilizoundwa na Bunge kuhusu makinikia ya Almasi na biashara ya Tanzanite. -Ripoti hizo zitapokelewa na spika kisha yeye...
10 Reactions
424 Replies
64K Views
HUYU BADO NI MBUNGE HALALI Ibara tajwa ya 71 (1) (a) inatamka, pamoja na mambo mengine, kuwa Ubunge hukoma pale ambapo Mbunge atatokewa na jambo lolote ambalo linampotezea sifa ya kuchaguliwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jecha alifuta uchaguzi wa Zanzibar kwa sababu taratibu zilikiukwa baada ya mgombea mmoja wa urais kujitangazia ushindi kinyume cha sheria, kanuni na taratibu. Vivyo hivyo mahakama ya Kenya imefuta...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwa ufupi CCM, ambayo hufanya chaguzi zake kila baada ya miaka mitano, imeanza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wapya kutokea ngazi ya shina, lakini mabadiliko ya katiba yaliyofanywa hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Sheria ya mitandao imeendelea kung’ata, baada ya wakazi wa Dar es Salaam kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka tofauti ya kumdhalilisha Rais na Jeshi la Polisi kwenye...
5 Reactions
158 Replies
15K Views
Mahakama ya juu(Supreme Court) imetoa maamuzi ambayo yamebatilisha matokeo ambayo yalimpa Ushindi ya kiti cha Urais Bwana Uhuru Kenyatta pale Agosti 8 mwaka huu. Ikumbukwe kwamba chama cha...
23 Reactions
473 Replies
33K Views
Anaandika Prof. Joseph Mbele Naleta picha ya ujumbe wa CCM kwenye kikao na wenyeji wao mjini Shanghai, China, mwaka 2018. Hapo mezani upande wa kushoto kuna kofia ya CCM. Yawezekana walikwenda...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Wanajamvi naomba mwenye taarifa anijuze alipo Kirumbe Ng'enda yule aliyekuwa katibu wa magamba mkoa wa Dar es salaam.
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Ni mida ambayo kwa sisi wengine ndo tunatoka kazini kulijenga Taifa la Tanzania linalojengwa na wenye Moyo na Kuliwa na wenye Choyo. Ni muda huu huwa naangalia nini kimekuwa posted JF. Ni kweli...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa akili ya kawaida tu unaona kabisa jambo hili la akina Mdee na wenzake linaweza kutokea. Kwanza kabisa mwenyekiti wao Mbowe alikaribisha hicho kitu na sasa tunaona muitikio wake baada ya Mdee...
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana kwa kweli ninamuombea Mhe. L. Mpina arudi mjengoni na kumuomba Rais Magufuli amteue tena kuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya uvuvi. Mhe. Mpina amefanya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom