Katiba inasema nini kwa mwizi aliyestaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba inasema nini kwa mwizi aliyestaafu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sijali, May 13, 2011.

 1. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Ndugu wana JF. Hivi katiba ya Tanzania bado inamlinda rais aliyestaafu ingawaje amefanya makosa ya jinai?
  Na kama jibu ni ndio, kuna mwelekeo wowote wa kubadili kipengee hicho katika katiba inayofikiriwa, au suala hilo kamwe halijaibuliwa?
  Kama haimlindi mtu kama huyo kwa nini mtu wa kawaida hawezi akawafungulia mashtaka watu kama Mkapa, Kigoda nk? Na baadaye Kikwete na watu wake? Au ni ule ule woga wa Watanzania ulio 'legendary'?
  Nifahamisheni.
   
Loading...