Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Mshindaji

Member
Oct 28, 2020
38
91
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema n.k wawe Mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa katika kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika Dr. Magufuli wewe ni Rais wapili smart baada ya Mwalimu Nyerere
 
Kura nyingi kati ya chache alizopata Lissu zinatoka kwa wachache wanaoichukia CCM sio kwa mapenzi yao kwa CHADEMA.

Ni kama vile Biden alipata kura nyingi za wanaomchukia Trump sio za wanaompenda yeye.
 
Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
 
Kura nyingi kati ya chache alizopata Lissu zinatoka kwa wachache wanaoichukia CCM sio kwa mapenzi yao kwa Chadema

Ni kama vile Biden alipata kura nyingi za wanaomchukia Trump sio za wanaompenda yeye
KLMK ulitaka tumuamini mama wa familia yako ?
 
Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Mh, urongo mtupu, hamkubaligi kushindwa since multiparty imeanza, kituo gani hicho, mbona hamkukishtaki kituo, mm kituo Changu na around the area, lisu wenu amepigwa mchana kweupe.
 
Inaendelea kuwa smart kuongeza umasikini wa wananchi. CCM bila vyombo vya dola na vya maamuzi hakipo, nawe Unajua .

Utendaji kazi wa Rais au Waziri hauangalii sura wala jina la mtu.
 
Eu wamesha kata misaada subirini mtakavyo ishi kama digidigi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nani ayaamini hayo mazezeta ya ufipa?

Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
 
Back
Top Bottom