Kizoku
Senior Member
- Apr 30, 2014
- 186
- 66
Wiki hii nimejifunza ya kuwa kuna mapinduzi matakatifu na mapinduzi haramu. Ndugu zetu wazanzibari wataadhimisha miaka 52 ya mapinduzi matakatifu yaliyotokea January 12, 1964. Ila wabobezi wa siasa naomba msaada ili kujua ni mapinduzi gani yanaenziwa kama matakatifu na mapinduzi gani ni mapinduzi haramu.
Nawasilisha
Nawasilisha