Kirumbe Ng'enda yuko wapi?

Hapo ni sawa na kuulizia mahali ilipo Condom iliyotumika....

Ni kawaida kabisa ya CCM kuwatumia watu wakati inawahitaji halafu ikishawachoka inawatupa. Hamna tofauti na wazinzi wamavyoitumia Condom wakimaliza mambo yao wanaiflush. Kirumbe Ng'enda ametumika sana enzi za katibu mkuu Makamba na alikuwa ana nguvu sana. Sasa naamini usemi wa Nepi kuwa ''SAMAKI ANA NGUVU AKIWA KWENYE MAJI''
 
hapo kweli magamba wameonyesha rangi yao halisi, kuondoka makamba kwenye ukatibu mkuu dogo naye kafurushwa. Ila nasikia ni mwanae Mzee makamba, mzee alimzaa enzi hizo akiwa mwalimu wa UPE mikoa ya Kigoma kama sikosei
 
Muulize Zitto
😁😂🤣🤣
IMG-20201203-WA0011.jpg
IMG-20201203-WA0011.jpg
 
Kigoma oyeeee !!
Hoyee
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Kakonko, Kibondo, Kasulu, Buhigwe, Uvinza, Kigoma
Buzebazeba, Mpeta, Nyamnyusi, Kidyama, Gungu, Ujiji,Mwasenga, Mwandiga, Murusi, Mto Chai
😁😂😀😅😏😃😀😁😂
 
John john Guninita ni marehemu, mungu amrehemu alikuwa mtu safiii. Kirumbe Ngenda ni mbunge wa kigoma mjini na ni Mnec wa ccm. Safari hii walishindana na ziti Kabwe mechi ilikuwa kali hatimaye Kirumbe akashinda.
Tuchape kaziiiiii. Maendeleo hayana chamaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom