Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CUF CHAMA CHA WANANCHI Desemba 20,2020 kitazindua rasmi kongamano la kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika ofisi kuu ya chama BUGURUNI . MWANACHI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hebu Jiulize! 1. Rais Mstaafu Kikwete kwa utashi wake binafsi aliamua watanzania wapate katiba mpya ( suala ambalo halikuwa hata kwenye ilani ya CCM ). Akatumia mamlaka yake kuunda tume ya...
19 Reactions
12 Replies
2K Views
1. HAKI NA USAWA vikubalike na viongozi waliopo. Wajione ni wananchi wa kawaida katika nchi ya Tanzania na sio wamiliki wa nchi ya Tanzania. Watambue uwepo wa watu wenye mawazo mazuri zaidi ya wao...
1 Reactions
1 Replies
716 Views
Nimeshangazwa sana na kauli aliyotoa Spika Ndugai hivi leo, wakati akiwaapisha wabunge wapya Humphrey Polepole na yule mwanamama Riziki Lulida, kuwa wabunge wa kuteuliwa na Rais katika zile nafasi...
18 Reactions
75 Replies
9K Views
Chungu ya Mabeberu imemfikia Uhuru Kenyatta uzalendo umemshinda ayataka mataifa ya ulaya kuacha kuingilia maswala ya ndani ya nchi yao (Kenya) 'Mtuheshimu ndio tuwaheshimu', Rais Kenyatta aonya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Shikamoo kiongozi, Wakristo zanzibar wanapata shida sana naomba hili ulimulike kwasababu ya mambo ya dini. Mfano ukitaka kujenga shule na wewe ni mkristo yaani utazungushwa mpaka miaka miwili...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
ASKOFU KUONGOZA MATEMBEZI YA HIARI YA RAIA KUHAMASISHA UUNDAJI WA TUME HURU YA UCHAGUZI NA UANDIKAJI WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA! Wapendwa Watanzania! Tunapenda kuwajulisha kuwa Askofu...
51 Reactions
131 Replies
12K Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa...
10 Reactions
94 Replies
13K Views
Wakati wa Dkt. Slaa CHADEMA iliaminika kwa uwezo wake wa kiintellejensia wa kung'amua mambo kabla ya kutokea na kufukunyua mambo yaliyotokea kujua yalitokeaje. CHADEMA ya Mnyika sijajua inafeli...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Umuofia kwenu!! Kuna matukio kadha wa kadha ambayo yametokea ndani ya kipindi cha mwezi mmoja uliopita, mengi yakihusiana na kesi mbalimbali za TRA dhidi ya raia na makampuni ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa. Ukiona siasa...
44 Reactions
113 Replies
10K Views
Katika pita pita zangu nikakutana na hii kauli ya Mbowe ambayo inachukuliwa kawaida sana ila ina kufikirisha ndani yake, huenda ikatoa majibu mengi kuhusu swala la Viti Maalum.
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata...
12 Reactions
67 Replies
5K Views
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi. Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi, Nina Ndugu ambaye yuko serikalini (Paspoti ya Utumishi) na alikuwa na VISA ya miaka 5 ya kuingia Marekani. Wiki iliyopita pamoja na Mkewe waliondoka kwenda Marekani kuwaona watoto wao...
40 Reactions
148 Replies
18K Views
Mengine yaliyopita yote tunayaelewa... Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused"...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP), Biswalo Mganga leo Jumatano Desemba 2, 2020 ameeleza uamuzi wake wa kumfutia mashtaka kada wa CHADEMA, Nusrat Hanje ambaye Novemba 27, 2020...
6 Reactions
122 Replies
16K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA WALIOKUWA WANACHAMA 19 Tumesikia kauli iliyotolewa na waliokuwa Wanachama wetu 19 waliochukuliwa hatua na Kamati Kuu...
52 Reactions
160 Replies
16K Views
Wanabodi; Nianze kwa kuwapongeza kurudi kuwa kundi moja la kuijenga nchi na kuongeza uzalishaji kwenye kaya zenu. Nimegundua kuwa nchi hii usipokuwa makini unaweza kutapeliwa kisiasa, unaweza...
24 Reactions
99 Replies
8K Views
TANZANIA KUWA MOJA YA WAZALISHAJI MUHIMU WA GESI YA HELLIUM DUNIANI Gesi ya hellium ni moja ya gesi adimu kabisa hapa duniani, ni gesi yenye sifa ya kipekee kabisa, ambayo inaifanya gesi hiyo...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom