Mimi ni mwananchi wa kawaida sana kwa kweli ninamuombea Mhe. L. Mpina arudi mjengoni na kumuomba Rais Magufuli amteue tena kuwa Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya uvuvi.
Mhe. Mpina amefanya...
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha...
Wanajamvi,
Kama kwenye Taifa kuna mtu au kikundi cha watu ambao wako juu ya Sheria na Katiba, basi Taifa hilo siyo huru. Bali litakuwa linaongozwa na kundi hilo.
Ngoja kitu kimoja tulivyokuwa...
TUSIKASIRIKIANE!
Rais wangu Magufuli:
Trump atakuwa alicheka kwanini Profesa Kabudi alipaita UDSM ni jalalani, chuo kikuu cha kitaaluma na mashuhuri kusini mwa jangwa la sahara. Trump lazima...
Hio ndio hali halisi. CCM inajaribu kuhadaa umma eti kwamba Dr Mwinyi yuko tayari kwa maridhiano, sio kweli.
Tokea kumaliza kwa uchaguzi wa 2020 ulioacha machungu, simanzi, vilio na dhulma za...
Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani...
Habari wadau. Yajayo yanafurahisha.
Waliokuwa Wabunge wa Viti Maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee wameanza kutofautiana hasa baada ya kufutwa Uanachama, na mapokeo ya maamuzi hayo kwa BAWACHA...
RAIS Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika hatua ambayo imewashutukiza wajumbe wa Tume hiyo, imefahamika.
Taarifa ya kuvunjwa kwa Tume hiyo, maarufu sasa kama Tume ya...
Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM...
TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu
DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth...
Plans to build a trans-African railway between the ports of Dar es Salaam in the east of the continent and Lobito in the west have been proposed by Sandri De Oliveira, Angola’s ambassador to...
Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la...
Atatua kero kuu ya Soko
Atembelea eneo la mradi, aagiza ujenzi uanze ndani ya saa 24 kwa kasi kubwa
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amemaliza mgogoro kati ya...
Katika kusoma kwangu neno leo nimekuta andiko hili.
1 Samweli 2 8
Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Humpandisha mhitaji kutoka jaani, Ili awaketishe pamoja na wakuu, Wakakirithi kiti cha enzi...
Niliwahi kusema CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Hizi shida zote wanazopata hadi kulaghai akina Mzee Halima na wenzake zingeweza kuepukika kama wange-apply akili kidogo tu kwenye...
Haijawahi kutokea Tanzania yetu ikashuhudia haya yanayoendelea. Kwamba uchaguzi unaisha mwezi mzima hakuna Cabinet? Baraza la Mawaziri! Hili sio ndio Serikali?
Mkuu wa kaya anataka kutuambia...
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi...
Mtawaliwa siku zote anatakakumuigiza mtawala katika maumbile yake, mavazi yake, kazi zake na yoteyanayokhusiana na hali yake na dasturi zake. Ibn Khaldun
Mapinduzi Tanganyika na Kenya
Picha...
Hapa Duniani kuna watu wamejaaliwa uwezo wa kuongoza binadamu wenzao na wengine wanejaaliwa uwezo wa kuwatawala watu.
Hongera mh Kikwete angalau kwa hilo la kuwa kiongozi wa binadamu wenzako.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza shilingi milioni 835,498,700 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya shamrashamra za sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.