Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mamlaka ya mapato Tanzania imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi za kitanzania trilio 1.032 katika mwezi May ambayo ni sawa na asilimia 100.7 ya lengo la kukusanya kiasi cha trilion 1.025...
7 Reactions
163 Replies
21K Views
Habari hii ni kwa mujibu tweet ya International Democratic Union: We are pleased to confirm Hon. Tundu Lissu’s participation at the #IDUForum2020. Tundu Lissu is Vice-Chairman of @ChademaTz and...
32 Reactions
184 Replies
17K Views
Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Enyi Watanzania mtapata ''laana'' kwa kile ambacho mmemfanyia Tundu Lissu katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2020! Mlianza kumwaminisha kuwa ni NI YEYE, NI YEYE wakati akiwa Ulaya mpaka akaamua...
51 Reactions
245 Replies
14K Views
Tanzania yatuhumiwa kuwafanyia dhulma wakimbizi kutoka Burundi wanateswa na kupotezwa Dec 03, 2020 04:50 UTC Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeituhumu Tanzania katika...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi ilijaribu kuja na mbinu nyingi za kuzima yale mengi mema yafanywayo na serikali, baada ya kuona kila sehemu wamepuuzwa kwa kua hakuna jipya CHADEMA wakamua kuja...
7 Reactions
86 Replies
7K Views
Misaada ya Kigeni ina sehemu Kubwa Sana katika uchumi wetu. Hii ni kweli kiasi kwamba bajeti yetu huwa inaandaliwa ikipigia hesabu misaada hii ya moja kwa moja ya bajeti. Wanaotupa misaada wana...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Ndio mimi Mwanaccm nimestushwa na uwezo wa Mdee na kundi lake wameweza kuwaweka kati viongozi wa CCM kwa K.O kama Tyson kuanzia jpm mpaka polepole na kuwabwaga mabwanyenye wa chadema kuanzia Mtei...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya wat u wenye sifa za kupiga kura hawajajiandikisha 1.Kukata tamaa Kwa yanayoendelea kutoka Kwa viongozi waliowaamini 2.Kujua fika kwamba matokeo yatapikwa Mjumbe mmoja anasema...
24 Reactions
55 Replies
6K Views
Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited...
17 Reactions
310 Replies
39K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo...
13 Reactions
61 Replies
8K Views
Leo, kama Mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na...
20 Reactions
64 Replies
7K Views
Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa...
49 Reactions
437 Replies
51K Views
Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe ameamuru Polisi kuwasweka ndani waandishi wa habari waliokua wakifuatia tukio la kufukuzwa wachimbaji wadogo 3000, eneo la mlima Mazigamba, kijiji cha Nyasa...
8 Reactions
117 Replies
20K Views
Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kauli ya Zitto: Serikali ya CCM ikinionyesha tani 1.5m za chakula ambazo inataka kusambaza najiuzulu Ubunge mara moja. Narudia, mpaka Oktoba 2016 kulikuwa na nafaka tani 90,400 tu Hivi kwenye...
57 Reactions
637 Replies
65K Views
Hawa vijana wameishia wapi kesi yao ya maandamano na kukaidi amri ya alali ya mkuu wa wilaya vipi? Je, Rais wamekutana naye au wanakula bata Dar. Hawa kwanza ni wasaliti, walisawasaliti viongozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais John Pombe Magufuli amesema idadi kubwa ya wanafunzi waliofukuzwa hivi karibuni katika Chuo kikuu cha Dodoma waliokua wakisoma kozi maalum hawakua na sifa stahiki za kudahiliwa kusoma kozi...
17 Reactions
713 Replies
100K Views
Wadau Habari za Usiku... Tukiachana na siasa za nchi yetu ambazo this tyme ndio gumzo la mjini, naomba niulize maswali yadfuatayo ...maana yatanisaidia sana kuhusu hii mifuko ya Jamii. Kama hujui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
madiwani wanaounda halmashauri ya wilaya ya kishapu wamejadili kwa dharura hali ya njaa inayoikabili wilaya hiyo. hawa nao wamenunuliwa? mhe polepole na chama chako mjitathmini. source: itv habari
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Back
Top Bottom