Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa...
19 Reactions
103 Replies
12K Views
Wanna JF, Tanzania inajipambanua kama kisima cha amani ila watu wake hawana amani. Hii imetokea baada ya kushuhudia kipigo cha mtoza ushuru Wa Magari pale Kariakoo mtaa wa Aggrey, walizozana...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje? Ni wanachama wafu ambao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Zoezi la kutaka kuonyesha kama siasa ni vita na upinzani ni uadui limeshika kasi hapa nchini! Uwekezaji mkubwa umefanyika kwenye hili zoezi na wananchi na viongozi kwa ujumla wamejikuta wakiingia...
42 Reactions
60 Replies
7K Views
Hayati Baba wa Taifa inasemekana kabla ya kututoka aliweka kila kitu kwenye mstari. Ndie Rais alitwala muda mrefu na ndie Rais aliona mengi nakujuwa mengi kuliko watangulizi wake. Kutokana na...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakati wanazindua mzigo mpya 'Bazzika' walijifanya wanapunguza bei za vifurushi lakini kiukweli WAMEPANDISHA BEI. Hawa ni wapigaji kama wapigaji wengine. Wangebakiza channel za vifurushi husika...
7 Reactions
40 Replies
8K Views
Nawashauri CHADEMA watumie mwanya huu kujenga hoja kuwa zile trilioni 2 ambazo zingeliletwa Tanzania kwa sharti la kuwepo wapinzani Bungeni, basi wapewe wapinzani wajenge vyama vyao. Najua ni...
12 Reactions
33 Replies
4K Views
Uzinduzi wa Kongamano la kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya litafanyika tar 20/12/2020
7 Reactions
82 Replies
9K Views
Yawezekana kuna upotoshaji wa makusudi kabisa juu ya uwepowa viti maalum bungeni kuwa ni nafasi wanazopewa vyama vya Siasa kuchagua Wanawake wa vyama hivyo kuingia Bungeni kama Wawakilishi wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75...
10 Reactions
60 Replies
9K Views
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi. Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi...
4 Reactions
95 Replies
6K Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ugonjwa wa corona umekuwa kisingizio katika ukusanyaji wa kodi licha ya kwamba inaonyesha hakuna jitihada za makusudi kufikia lengo. Akizungumza juzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha. Mstaafu Msekwa alisema Spika ni...
7 Reactions
125 Replies
11K Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesitisha likizo za wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo, hadi watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele. ACT-Wazalendo wajiunge na...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
1. Mtu ni Mwanasheria kabisa lakini Kuzungumza mbele ya Press huwezi na unabaki Kuhangaika hangaika tu. 2. Hueleweki hata unataka kusema nini mbele ya Press na unabaki Kuzunguka zunguka tu. 3...
55 Reactions
118 Replies
13K Views
Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Twaha Mwaipaya, Mratibu wa Uhamasishaji Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) ambaye pia aliwekwa magereza amesema Nusrat Hanje alipelekewa fomu akiwa Mahabusu Nusrat Hanje, aliyekuwa...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Back
Top Bottom