Ridhiwani JK

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Mwanasheria, Msomi, mwana wa mfalme RizOne! Siku zile Saba bado? Sijakuona Kisutu.....Mtikila siku unahesabu vipi? Zile zako Saba bado pia?
 
Rz 1 si msomi bali ameenda shule
kumbuka :kumbuka hata mlizi wa shule lazima efike shule kuhudhuria lindo lako

Kama unaweza basi mkumbushe Ridhiwani! Mambo ya mjini mjini ya kifisadi hapana.
 
Wasanii wote mpwa nendwa tu kwa jukwa lileee ukatunze ndoa yako
 
Siku saba ni za kisheria kama mhusika hajajibu au kuomba radhi kwa kusema uongo,kinachofuata hata uwe mwezi ni utekelezaji wa kusudio inaweza kuwa mwaka au miaka au mwezi suala ni kuwa muda wa kuomba radhi ushapita.
 
naona kama wamesameheana.Mtikila hana ushahidi na Ridhwan kakataa kumiliki mali anazotuhumiwa.
 
Siku saba ni za kisheria kama mhusika hajajibu au kuomba radhi kwa kusema uongo,kinachofuata hata uwe mwezi ni utekelezaji wa kusudio inaweza kuwa mwaka au miaka au mwezi suala ni kuwa muda wa kuomba radhi ushapita.

Kumbe Ridhiwani anaweza kuimanisha siku saba, ikawa miezi saba, Miaka saba, miaka sabini...lol! Kazi kweli kweli
 
Mwanasheria, Msomi, mwana wa mfalme RizOne! Siku zile Saba bado? Sijakuona Kisutu.....Mtikila siku unahesabu vipi? Zile zako Saba bado pia?
Ukikutana na Baunsa akakutishia kukuny'anga'anya girl friend wako lazima ujitutumue japo unajua anakuzidi nguvu!
 
Nasikia amesema kuwa waandishi wamemnukuu vibaya,kuwa yeye hajampa mtu yoyote siku saba.
 
Slaa alimwambia kwamba wameshindwa wakubwa yeye ataweza ? Slaa akasema yeye akiweza atakuwa amevunja na kuweka historia , nami nangojea kusikia kesi iko maeneo gani hadi sasa .Alikuwa anatania nadhani au hakuwa na maelezo ya kina juu ua Slaa nini ?
 
Dr Slaa is a gift from heaven!!!!!!!
 
Back
Top Bottom