Baada ya CCM kuvuna wabunge wengi sana wakiwemo wasanii watu walijua kabisa Naibu Waziri ama Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo angetokea kwenye kundi la wabunge wanasanaa lakini mambo yameenda...
Leo chama chetu kinampokea rasmi Ndugu Benard Membe ndani ya chama.
Kiongozi wa chama, Ndugu Zitto Kabwe; Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Maalim Seif Sharifu Hamadi; na Katibu Mkuu wa Chama...
Kabla ya kuchukua fomu ya kugombea urais wa JMT, Ben Mkapa aliamua kwenda kumuomba ushauri/ridhaa Mwalimu Nyerere kwa kumwandikia ujumbe na kuutuma butiama, lakini pia baadae Mkapa alipokutana na...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini.
Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof...
Wanabodi,
Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani...
Habarini wanajamvi.
Wakati tunaelekea kuumaliza mwaka mbaya kuliko yote tangu kuanza kwa Karne hii ya 21, ningependa kutoa observation yangu kuhusiana na uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka huu hapa...
Jana Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya 'ziara' katika Wizara ya Ujenzi.Alitumia ziara hiyo 'kumvua nguo' Waziri wa Wizara hiyo John Pombe Magufuli kwa kumuita mbabe na mchonganishi.
Ubabe wa...
Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia...
Wakuu,
Nimesoma hii habari kwa masikitiko. Kama ni ya kweli, ni kweli tumedhamiria kuwa na wawekezaji wa kigeni Tanzania au ni maigizo tu?
Maamuzi haya yanaathiri sana FDIs kwa nchi yetu na...
Kuacha blah blah zake, kuna mtu anaweza kuniwekea hapa mchango wake halisi chadema? Kwa mfano ni Mbunge gani kashinda uchaguzi kwa sasabu ya kukampeniwa na Tundu Lisu, au kesi gani labda...
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?
Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, Watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari...
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni...
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Sakata la Mpina huko kanda ya ziwa ni zaidi ya uovu wa operesheni tokomeza iliyo wang'oa akina Kagasheki. Mwanzo tulisikia mh. Zitto Kabwe akilalamika kuwatetea wavuvi na wafanya biashara wa...
Muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kutoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof Adolf Mkenda kumaliza tofauti zao vinginevyo...
Huu ni mwaka mbaya kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa kwani baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Umeya sasa analo lingine.
Baada ya diwani huyo kuchapisha picha kwenye mtandao wa Twitter...
ZIARA YA KUSHTUKIZA: Naibu Waziri wa Afya Dk Hamisi Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwenye Kliniki ya Dk. Mwaka, asubiri kibali cha polisi ili kufanya ukaguzi.
UPDATES;
Naibu Waziri wa...
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke...
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.