Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.
Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.
Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.
Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na single account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.
Maamuzi magumu hayanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha na uchumi
Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
Nilitabiri mwaka jana before corona virus.