Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kuacha blah blah zake, kuna mtu anaweza kuniwekea hapa mchango wake halisi chadema? Kwa mfano ni Mbunge gani kashinda uchaguzi kwa sasabu ya kukampeniwa na Tundu Lisu, au kesi gani labda alimpigania Mbunge/Diwani wa chadema akashinda, yaani kitu concrete ameisadia nini chadema? Nauliza hivi kwa maana Tundu Lisu hata kwenye Jimbo lake Singida anashinda kwa mbinde wkt wenzake kama Mbowe wana landslide kwenye Majimbo yao, ina maana hata Singida tu hawamkubali, sasa huyu mtu ana faida gani chadema?
Najua kwa mfano Mbowe ingawaje ameishiwa pumzi lkn ana mchango wake chadema, Slaa mchango mkubwa tu, Mnyika hata H.Mdee, lkn Tundu Lisu sioni alichokifanya zaidi ya kubomoa chadema!
Yeye ndiye aliyemuita Lowasa fisadi, akaja kumleta chadema na kumuita msafi na yeye ndiye aliyemkimbiza Slaa!
Yeye ndiye aliyemuita Raisi wa kwanza Mlm.Nyerere tena Bungeni mbele ya macho ya Watanzania kwamba Mlm. Nyerere alikuwa ,,Kiongozi mnafiki na aliyeishi kwa uongo" hapo hapo anatumia Jina la Mlm.Nyerere kujinufaisha Kisiasa na kumuita Mwanademokrasia basi ili mradi Uongo tu ndiyo anaojua!
Siasa zake za chuki binafsi na matusi dhidi ya Raisi wa JMTZ zinazidi kuibomoa chadema zaidi ya kuijenga!
Mshaurini Tundu Lisu aende kufanya kazi za NGO za kiharakati labda kupinga ukeketaji au sijui kutetea Wafugaji lkn siyo Siasa kwani anawabomoa chadema!