MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 716
- 1,144
Baada ya CCM kuvuna wabunge wengi sana wakiwemo wasanii watu walijua kabisa Naibu Waziri ama Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo angetokea kwenye kundi la wabunge wanasanaa lakini mambo yameenda ndivyo sivyo.
Lakini pia Isack Kamwelwe, Mpina, Zungu, Kigwangala, Hasunga nao pia wamepumzishwa kupisha watu wengine tuone itakuwaje. Uongozi ni kupeana vijiti, jiandaeni kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya
Lakini pia Isack Kamwelwe, Mpina, Zungu, Kigwangala, Hasunga nao pia wamepumzishwa kupisha watu wengine tuone itakuwaje. Uongozi ni kupeana vijiti, jiandaeni kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya