Waziri wa Maliasili na Utalii, Dtk. Kigwangalla amtuhumu aliyekuwa Meya wa Iringa, Alex Kimbe kwa ujangili baada ya kuua chatu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,192
2,000
Huu ni mwaka mbaya kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa kwani baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Umeya sasa analo lingine.

Baada ya diwani huyo kuchapisha picha kwenye mtandao wa Twitter kuwa amemuua nyoka mkubwa aina ya chatu aliyekuwa anawinda mbuzi wake, Waziri wa Utalii Hamis Kigangwalla amemtaja meya huyo kama jangili na ana kesi ya kujibu.

Kwa mujibu wa sheria zetu ni kosa la jinai kumuua mnyama au denge asiyefugwa bila kibali cha mamlaka husika

Kimbe ajiandae kwa kosa la ujangili na ushahidi upo wazi.

Kigwa.JPG

USSR
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom