Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo wakati akichangia hoja bungeni , mbunge wa jimbo la Rombo kupitia Chadema Joseph Selasini amemlalamikia Mh Spika kuwa wabunge wa Chadema wameunda group la whatsap ambalo yeye hayumo! Mbunge...
13 Reactions
255 Replies
26K Views
Ukiangalia nchi nyingi zilizo endelea zilitegemea rasilimali, yaan zilitumia rasilimali vizuri ndo zikaendelea hazikutisha wanaanchi wake mzigo wa makodi Kama zifanyazo nchi za Afrika Nchi za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu! Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia. Baadaye aliendelea kuwa...
24 Reactions
147 Replies
19K Views
Kuna watu wenye maoni tofauti kuhusu hali ya kiuchumi ya Tanzania. Kuna wanaofikiri kwamba uchumi wetu kama taifa unayumba na kuna ambao wanasema kwamba uchumi unakua. Katika hali ya kawaida...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari, Inaweza kuonekana kama naota hivi ila amini usiamini kwa utawala huu hili linaweza kwenda kutokea wote mkabaki mnashangaa. Hivi mnafikiri Mr Polepole ni wa hadhi ya kuwa mbunge tu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Watu wanajadili kukosekana kwa Makonda, Kigwangala, Nape, Gambo kwenye baraza la Mawaziri wanashindwa kujua hata January hayupo. Je, January hakustahili, Hana sifa au mzee ameona kwamba akimpa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu wana jukwaa salam, Uchaguzi umepita na sasa ni wakati wa kuchapa kazi kujiletea maendeleo. Lakini si vibaya tukajuzana juu ya washindani katika nafasi mbalimbali, kwa mfano mzee wa niguse...
8 Reactions
92 Replies
8K Views
Rais wa Zanzibar yupo na Mtizamo tofauti kuhusu Zanzibar, pamoja na kwamba anajua aliingia kwa njia zenye vitendo vya kidemokrasia bado anatambua kwamba bila Zanzibar moja hakuna maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Vunjo Kukosekana kwa elimu shirikishi juu ya wadau wa sekta za kifedha katika jimbo la Vunjo kumepelekea wananchi walio wengi kushindwa kunufail na mikopo hususan inayotolewa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro limetajwa kushindwa kupiga hatua za kimaendeleo kwa miaka kumi kwa kukosa mwakilishi sahihi wakutatua changamoto zilizopo. Kutokana na hali hiyo mgombea ubunge...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa...
27 Reactions
411 Replies
33K Views
Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi...
11 Reactions
168 Replies
12K Views
Habari wakuu, Sijajua ni mamlaka gani inalinda na kusimamia katiba ya nchi yetu. Katiba yetu inaonekana kama desa, au mkusanyiko wa karatasi zimezoandika notes tu fulani fulani ukiamua unaweza...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
The Exclusive Interview | Hon. Dr. W. Slaa, Tanzania Ambassador in Sweden Mh. Balozi Dr. W. Slaa anayeiwakilisha Tanzania nchini Sweden azungumzia ngazi za diplomasia toka diplomasia ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kata ya Terrat wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
NANI ANAVUNJA KATIBA YA NCHI? NANI WA KUSEMA? NA ADHABU YAKE NI IPI NA NANI WA KUTOA ADHABU HIYO? Katika Ulimwengu huru, unaojali na kuheshimu haki na demokrasia; viongozi walioapa kuilinda...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Afya katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Chama cha Mapinduzi kupitia Rais Magufuli, Ummy Mwalimu wakati akihitimisha kujibu hoja za wabunge wakati wa kupitisha bajeti ya...
30 Reactions
140 Replies
24K Views
Mheshimiwa Spika Ndugai tumeushuhudia ukali wako kwa wabunge na usimamiaji wakowa kanuni hasa kwa wabunge wakorofi wa vyama vya upinzani hususani Chadema. Umekuwa ukishutumiwa kuwa husimamii...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Muungano wa JMTZ ni copy & paste ya Muungano wa nchi ya Uingereza ambapo England ndo nchi kubwa, lkn huwezi kukuta hata siku moja mtu wa England akijishughulisha na mambo ya Scotland au sijui...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom