Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini, mlikuja na gea la ICC likabuma, Watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie.

Samahani, mlianza na gea la kutulazimisha tuingie mitaani kuandamana eti uchaguzi haukua huru na wa haki. Watanzania wakawapuuza, sababu ni kuwa hawawataki maana nyie ni matapeli wa kisiasa na wachumia matumbo.

Sasa hivi mmeibuka na propaganda za kishamba na kipuuzi. Mnaeneza uongo kwenye mitandao, eti hapa Tanzania sera sio rafiki kwa wawekezaji nia yenu kubwa tu ni kuonyesha kuwa serikali ya awamu ya tano haifai na haitoi support kwa sekta binafsi.

Hivi mnatulazimisha tuwakubali? Kama tuliwakataa toka tulipowabaini nyie ni waganga njaa ndio hizi propaganda mfu zitawasaidia?

Mnataka nini na Tanzania yetu,kama hamtaki kuishi hapa Bongoland ondokeni muende ughaibuni mkaungane na wenzenu tuachieni nchi yetu. Sio kuwa mnaleta siasa za kishamba wakati watanzania hawawataki.

N.B: Kwani lazima watanzania wachague wabunge wa Chadema?
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie....
Ndugu zetu wa Chadema wanaweweseka hovyo waonee huruma tu.
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie....
Je, kwani uchaguzi una vyama?
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie....
Mimi nahisi anayeweweseka ni CCM zaidi.Serikali za mitaa zote zipo chini yake,bunge 99%,bado mnaibua hoja ndogondogo mitandaoni!!
 
Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie...
Bilashaka tunatafuta uteuzi

Hakuna Mtanzania mwenye akili za kipumbavu kama unless ameahidiwa uteuzi!
 
Mimi nahisi anayeweweseka ni CCM zaidi.Serikali za mitaa zote zipo chini yake,bunge 99%,bado mnaibua hoja ndogondogo mitandaoni!!
Hoja zipi ndogo ? Hawa jamaa zako ambao jana na leo wamekesha wanapotosha kuhusu sera mbovu za Tanzania kudhulumu wawekezaji wana akili?
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie...
Mm sijamulewa maana sijasoma hadi mwisho nadhani kichwa changu nikigumu kusoma utopolo
 
Mbona mnakuwa na vichwa vigumu na kushupaza shingo? Mnataka nini kwa watanzania?

Baada ya kubwagwa chini,mlikuja na gea la Icc likabuma,watanzania wanaendelea na shughuli zao hata hawana habari na nyie....
Kama siyo lazima watanzania wachague wabunge wa upinzani hawa 19 mnalazimisha wa nini si muendelee wenyewe huko
 
Back
Top Bottom