Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kutoa siku tano kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof Adolf Mkenda kumaliza tofauti zao vinginevyo atatengua uteuzi wao, Dkt Kigwangalla amesema haya: “Tulimaliza tofauti zetu, sasa hali ni shwari."