Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,923
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli.

Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema wamekula viapo vya uaminifu huko kwenye halmashauri?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!
Kwahiyo hakunaga madiwani wa viti maalumu?

Wewe Bavicha ni bure kabisa!
 
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!
Wapo madiwani wa kuchaguliwa na wa viti maalum kama ilivyokuwa kwa wabunge...
 
Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.
Kwani ni nani kawapeleka?
 
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.
Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende kuchanganya mambo ilimradi tipate kosa!

Nadhani wewe ndiye uko kwenye fault-finding mission!

Hao madiwani ni direct product ya ule mnaouita uchaguzi haramu na chama chenu kimesema hakiutambui.
 
Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli.

Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema wamekula viapo vya uaminifu huko kwenye halmashauri?

Maendeleo hayana vyama!
Madiwani gani? Walipata hata madiwani?
 
Mwenyekiti wako wachama, halafu baada ya kuona sekeseke la wanachama wake, akaamua kujifanya anawaruka majoka wateule walee. Haaa haaaaaa. Maigizo mengine bwaaanaaa
Basi wekeni hivyo vielelezo hadharani, ili 'mlifunge na kulimaliza' kabisa swala hili, badala ya watu wenu akina Mahera kushinda wanajikanyaga.
 
Tatizo halima amejibebesha madaraka yasiyo yake. Kwani mwenye uhalali wa kuwakilisha ubunge viti maalumu ni yeye tu na kundi lake? Na je ingetokea yeye Halima na kundi lake wangefanikiwa kupata ubunge kwa kupigiwa kura na wananchi wa majimbo yao ,je ubunge wa viti maalum ungewakilishwa na nani? Ama wange beba kofia zote mbili za ubunge wa jimbo na wa viti maalum?
 
Kumbe madiwani nao ni viti maalum! Tueleze nani aliwateua na kupeleka majina.

Mimi nilikuwa najua madiwani hupigiwa kura na wananchi, sijui kama akina Halima tuliwapigia kura, watanzania tusipende k

uchanganya mambo ilimradi tipate kosa!b

Kamanda mdee mbona alishawapa za uso hao chademaa?? Madiwani walisha apaa toka siku nyingi, wakiongozwa na mbunge wa nkasi vijijini Aida kenani, hivyo uchaguzi ulikuwa huru na wahakiii. Aliendelea kusema kuwa wabunge waviti malumu nishariti wapelekwe bungeniii harakaaa.
Halima anawachezea akili. Waliyokula kiapo ni madiwani wa kuchaguliwa kama alivyokula kiapo mbunge aidah khenani wa kuchaguliwa. Halima anajidai haelewi kama kosa laoyeye na genge lake ni namna walivyofika kuapa bungeni viti maalum kinyume na utaratibu wa uteuzi wa chadema.
 
Back
Top Bottom