Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mada inahusika, Ujumbe huu unawahusu wana mageuzi wa Kweli wa CHADEMA na GT pekee na sio wafia chama na wapiga debe. Kuifahamu historia ya mapambano ya Zanzibar walau kuanzia 1995 hadi sasa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Tumekuwa tukishuhudia kila kiongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka, ni lazima kwanza aape na katika kiapo hicho, sharti kuu ni kuilinda na kuiheshimu Katiba ya nchi ambayo ndiyo sheria mama ya nchi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumeshuhudia mitandaoni ikisambaa clip kuhusu figisu alizokumbana nazo Dangote katika kiwanda Cha cement Mtwara. Tuhuma nyingi zinaelekezwa kwa watumishi wa Umma ambao wanamaslahi binafsi kuliko...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni baada ya ACT Ku-Surrender kwa ma CCM. Maalim kwa sasa na kwa nafasi yake anatakiwa ndio awe KC na Zitto atafute nafasi nyingine. Sababu iliyo wazi kabisa ni kuwa Mara baada ya Zitto...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020. Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Huyu ni Mkuu wa Wilaya ambae ukimsikiliza, unaweza kuhoji aliwezaje kuwa mkuu wa wilaya katikati ya Watanzania wengi wenye sifa na wenye busara za uongozi. Awali alipoandikwa humu wengi tuliamini...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila kona ya Tanzania naona watu wengi sana wamefurahia Dkt. Kigwangalla kuachwa katika Baraza la Mawaziri. Walioko kwenye sekta ya utalii wamefurahi sana. Cha ajabu hata ambao hawako kwenye sekta...
27 Reactions
94 Replies
11K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi kesho Disemba 8 atamuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad. Hafla ya kumuapisha Maalim...
5 Reactions
82 Replies
8K Views
Nakumbuka uliwahi kututangazia mali na madeni yako kulingana na katiba ya chama chenu cha ACT inavyowataka. Binafsi leo hii nakuomba utueleze hali ya madeni yako, na ikiwezekana utueleze...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM. Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na Mkuu wetu wa nchi kutuambia kuwa watanzania tutembee vifua mbele, kwa kuwa uchumi wa Tanzania unazidi kupaa na tupo katika RIGHT TRACK, lakini kiuhalisia ni kuwa kama nchi tunapita...
14 Reactions
73 Replies
9K Views
Hivi karibuni Rais ametangaza baraza la mawaziri ambalo binafsi mimi naona kwamba ni kubwa sana na litakuwa mzigo kwa sisi walipa kodi wa nchi hii. Kuna baadhi ya wizara zinapaswa kuunganishwa...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi. huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada. Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi...
15 Reactions
181 Replies
40K Views
Nafasi ya Godbless Lema ya mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini itajazwa lini? Kama tujuavyo Lema amekimbia nchi kwa madai ya changamoto za kisiasa na kuelekea Kenya kupata hifadhi. Naomba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Siasa za nchi hii ukizivamia bila kujua vizuri historia yake lazima zitakupeleka sehemu ambayo ulidhani haiwezekani! Wanasiasa wanaozijua vizuri siasa za nchi hii kwa sasa wako na familia zao...
56 Reactions
172 Replies
15K Views
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli? Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana. Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. =====...
22 Reactions
236 Replies
24K Views
Mbilinyi: CCM na Serikali yake ni vurugu Asema zipo CCM mbili, serikalini uwenzetu upo Afikiria Unguja ingekuwa mkoa na Pemba wilaya Aonya kujiunga OIC ni mawazo finyu na uvivu Na Sarah...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka...
10 Reactions
334 Replies
28K Views
Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba...
41 Reactions
258 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…